CCM imesahau kuwateua Makatibu wenezi CCM mikoa nchi nzima, Makonda utafanya kazi na akina nani?

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
12,833
21,467
Uchaguzi mkuu wa CCM ulifanyika Oktoba 2022, ambapo makatibu wenezi wa CCM mkoa hawakuchaguliwa kipindi hicho na mwenyekiti amesahau kuwa alisema wenezi wa CCM mkoa watateuliwa.

Hadi leo hawajawahi kuteuliwa, sasa Makonda utafanya kazi na nani?

Kazi ya kwanza teua wenezo wa CCM mkoa ili uanze kibarua chako.
 
Uchaguzi mkuu wa ccm ulifanyika oct 2022, ambapo makatibu wenezi wa ccm mkoa hawakuchaguliwa kipindi hicho na mwenyekiti amesahau kuwa alisema wenezi wa ccm mkoa watateuliwa.

Hadi leo hawajawahi kuteuliwa sasa Makonda utafanya kazi na nani?
Kazi ya kwanza teua wenezo wa ccm mkoa ili uanze kibarua chako.
Huyo ni jembe atapiga peke yake hashindwi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchaguzi mkuu wa ccm ulifanyika oct 2022, ambapo makatibu wenezi wa ccm mkoa hawakuchaguliwa kipindi hicho na mwenyekiti amesahau kuwa alisema wenezi wa ccm mkoa watateuliwa.

Hadi leo hawajawahi kuteuliwa sasa Makonda utafanya kazi na nani?
Kazi ya kwanza teua wenezo wa ccm mkoa ili uanze kibarua chako.
Wanahitajika hao waenezi? Maana Sasa hivi kazi hiyo inafanywa na chawa. Na chama hicho kwa sasa hivi kinategemea zaidi. Hata hiyo makonda sio msemaji kwa maana ya kuzisemea sera, Bali kuna mtazamo kuwa anaweza kuwajibu wapinzani, na anaweza kusimamia kitengo Cha uhalifu ndani ya ccm.
 
Back
Top Bottom