Kijana wa Mbowe asifu uteuzi wa Makonda, asema anafanya siasa safi za hoja kwa hoja

sonofobia

JF-Expert Member
Jun 21, 2015
384
2,526
IMG_20231026_235504.jpg

Kijana wa Mbowe ambaye ni maaarufu mtandao wa twitter kwa kumlinda Mbowe kwa gharama yoyote. Ameonekana akimsifu Makonda kuwa ni mwanasiasa mahiri anaeziweza siasa za hoja kwa hoja na sio za kushikiana mtutu.

Hii imekuja siku chache baada ya Lissu akionekana hadharani akiuoponda uteuzi wa Makonda akimwita muarifu.

Wataalam wa siasa tupeni mtazamo wenu kuhusu kambi ya Mbowe ambao hawataki kusikia la yoyote kuhusu utawala huu wa awamu ya 6.

Lissu ameonekana jana akisema hajui maridhiano yanahusu nini.
 
Huyu kijana atakuwa kazaliwa wakati Makonda akiwa mapumzikoni baada ya:-
(a) kufanya ujambazi akiwa RC mkoa wa DSM.
(c) kumuua Ben Saa8 na Azory Gwanda Kisha kumpiga risasi Tundu Lisu.
(c) kumnasa vibao mzee Warioba pale UDSM .
Lakini huyu alishuhudia yote hayo mpaka uvamizi clouds. Au kuna pesa imemlainisha Mbowe na kundi lake?
 
View attachment 2794127
Kijana wa Mbowe ambaye ni maaarufu mtandao wa twitter kwa kumlinda Mbowe kwa gharama yoyote. Ameonekana akimsifu Makonda kuwa ni mwanasiasa mahiri anaeziweza siasa za hoja kwa hoja na sio za kushikiana mtutu.

Hii imekuja siku chache baada ya Lissu akionekana hadharani akiuoponda uteuzi wa Makonda akimwita muarifu.

Wataalam wa siasa tupeni mtazamo wenu kuhusu kambi ya Mbowe ambao hawataki kusikia la yoyote kuhusu utawala huu wa awamu ya 6.

Lissu ameonekana jana akisema hajui maridhiano yanahusu nini.
stupid, alisema samia
 
Back
Top Bottom