Simanzi nzito na majonzi yasiyo na kifani yametanda kote nchini kufuatia taarifa za kusikitisha za kifo cha ghafla cha Suez Daniel Maradufu.
Marehemu, ambaye alikuwa dereva mwaminifu wa Makamu...
Kwakuwa hii sijaiona JF, nimeona niiweke for our records:
Aliyekuwa Naibu Waziri wa Kilimo na Ushirika na Mbunge wa Namtumbo, Prof.Pius Mbawala, amefariki dunia akiwa anapatiwa matibabu katika...
Tanzania ni nchi iliyojengwa juu ya msingi wa amani, umoja na mshikamano. Hata hivyo, hali ya sasa imewafanya wananchi wengi kujiuliza mustakabali wa taifa letu.
Moja ya changamoto kubwa...
Kwaajili ya pesa tu tena za wafadhili mabeberu, halafu kibaraka moja kwa tamaa zake binafsi, anaamua kudhulumu uhai wa mfanyakazi wake?
Kwanini ampe mfanyakazi wake mabilioni ya pesa akalale nayo...
Rais wa Tanzania, John Magufuli amefanya mabadiliko ndani ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa kumteua bosi mpya wa jeshi hilo na kumhamisha aliyekuwepo.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Tanzania...
Baada ya CCM kupitia serikali yake dhalimu kupiga marufuku mikutano ya siasa na wao kuanza kumtumia waziri mkuu wao fake Mwigulu kumwaga sumu ya kuwa maandamano yameandaliwa kuleta vurugu na wao...
Wana bodi, hii ni kubwa kuliko na kali ya aina yake sio tetesi, ni uhakika wa 100% Kagoda inajulikana na wote, ni Safi, na kamwe haitafikishwa mahakamani.
Nikiwa mjini Dodoma kwenye kona kona za...
Kupitia Mtandao wa X, Rose Mayemba kawatuhumu waarabu fulani(kaweka picha na majina yao) pamoja na watawala kuwa wanachukua shilingi 544 kwenye kila lita ya mafuta pamoja na tuhuma zingine za...
Silazima nisalimu Wana jamvi.
Katika Hali ya kushangaza na kustaajabisha, ni Jana Tu alitoa kauli kuwa anafuatiliwa na wasiojulikana.Leo Dereva wake kafa..NI kuna ujumbe umetumwa kwake ama Vipi?
Kwamba ule msemo kuwa samaki mmoja akioza wote wameoza si kweli. Mwalimu ameoza , anatolewa, wazima wanabaki.
Mshirika wake mkubwa leo anamuita samaki aliyeoza.
Kuna siku na yeye ataoza
KAFULILA AFAFANUA KUHUSU PPPC NA TISEZA
==
Dodoma – Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini (PPPC), Bwana David Zacharia Kafulila, ametoa public lecture katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)...
KAFULILA AAHIDI MASTERS YA PPP UDOM
Dodoma – Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha PPP, Bw. David Kafulila, ameahidi kwamba Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kitakuwa miongoni mwa taasisi chache duniani...
CHAPTER TWO OF THE BOOK 'The Poorest Man in Africa': A Childwood Without Dreams.
In chapter two, Raphael reflects on a childhood shaped by extreme poverty, where survival came before ambition...
Mbunge wa Kisarawe, Mhe. Dkt. Suleiman Jaffo, akichangia katika Bajeti Kuu ya Serikali jijini Dodoma, ametoa wito wa kuimarisha sekta ya makazi kupitia mfumo wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Kamishna wa Uhifadhi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka...
Nilijua haya mambo yameisha. Kumbe bado.👇
==============
Taarifa ya kutekwa/kupotea Amosi Lukinda, siku ya Jumamosi June 20, 2026, Lukinda aliaga kwamba kuna watu wamemuita wanashida nae huko...
Yaani kwa mfano hapa Tanzania, unakuta chama cha siasa cha upinzani ambacho hakina hata uelekeo maalumu, badala ya kusukuma agenda zake, kinatafuta kua na uhasama au kinajenga chuki zisizo na...
Wakuu,
Mkazi wa Manzese, wilayani Ubungo jijini Dar es Salaam, Mohamed Mgomvi, ametuma ujumbe kwa Jeshi la Polisi akiwataka "wasilaumu" endapo watasikia nyumba ya mtu imechomwa moto
Soma Pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.