https://www.youtube.com/live/hFA11lefC7I?si=Wgp31A2Jzc2nKV_j
Baada ya mafanikio makubwa ya mihadhara ya umma iliyofanyika katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) na Kampasi Kuu ya Chuo Kikuu cha...
Wanaharakati wanasababisha walinzi wetu kuandamana muda mrefu zaidi kuliko waandamaji wenyewe jambo ambalo linachosha vyombo vyetu .
Kama wataamua kuahirisha hiyo tarehe na kutangaza tarehe...
Jaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju akifungua Mkutano Mkuu wa Chama cha Madalali Juni 30, 2026 amesema hatarajii kuona viongozi wa kisiasa wakiingilia utendaji wa shughuli za kisheria kwa kigezo...
Habari zenu, TLS ni taasisi inayohudumia watu wote bila ya kuzingatia itikadi, dini, rangi wala ubaguzi wa aina yeyote.
Lakini chama cha CHADEMA kinakubali kuungwa mkono na chama cha mawakili...
Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan ameonyesha dhamira ya dhati ya kuboresha maisha ya mtanzania lakini michadema Bado inaendekeza siasa chafu,
Mh. Rais alipoingia madarakani alipandisha watumishi...
Kada wa CHADEMA aliyerejea hivi karibuni kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) @ccmtanzania , Mchungaji Peter Msigwa amesema baadhi ya wanachama wa CCM wanajiona kuwa ni sehemu ya dola, huku serikali...
HUKO NI KUVUKA MIPAKA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kuna wakati katika maisha mtu hufanya kosa. Kuna wakati pia mtu hufanya uamuzi mbaya. Lakini kuna hatua nyingine ambayo si kosa tena wala...
Picha kamili ni kwamba zile kero ambazo zilisababisha ghasia na mauaji ya Oktoba 29 mwaka 2025 bado hazijatatuliwa.
Ufisadi, utekaji na nepotisim bado zinalitafuna taifa letu.
Mbaya zaidi CCM...
Mwandishi wa kujitegemea, Ndg. Pascal Mayala (katikati) akihojiwa na Kamati ya kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kwa kosa la kuandika habari yenye maudhui ya kudharau Bunge...
Spika Job Ndugai ametoa maagizo kwa Kamati ya Maadili ya Bunge, kumhoji Mwanahabari Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema kwa kuandika makala ikiwa na kichwa "Bunge linajipendekeza?"...
Wanabodi,
Kupitia bandiko hili,
Spika aagiza mwandishi Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema wahojiwe kwa kulidhalilisha Bunge
Nimesikia kuhusu kilichoendelea Dodoma, kwa vile bado...
Wanabodi,
Hii ni sehemu ya pili, au muendelezo wa ile Makala yangu ya "Kwa Maslahi ya Taifa na Pascal Mayalla", ambazo zinachapishwa kwenye Gazeti la Raia Mwema la kila siku za Jumatatu.
Makala...
Wanabodi,
Wakati taifa likiwa bado limepigwa na butwaa ya kilichomtokea Mhe. Tundu Lisu, najiunga na kumtakia uponyaji wa haraka, japo nakiri mimi ni miongoni mwa wale wanao leave all options...
Kuna a researcher aliangalia maandamano between 1900-2000 yaliyofanikiwa kufanikisha regime change akagundua kitu called The 3.5% Rule. Aligundua kwamba maandamano yaliyofanikiwa kuondoa serikali...
Kuna kampuni inaitwa RockTronic ya Moshi mkoani Kilimanjaro imepewa kujenga barabara ya Arusha-Moshi kipande cha UsaRiver-KIA kujenga upya barabara tajwa. Miezi miwili sasa hata njia za Diversion...
Hali ya sintofahamu imejitokeza katika eneo la Bon City, mtaa wa Mlimani, kata ya Murieti, jijini Arusha, baada ya wananchi kulalamikia machinjio yanayodaiwa kuhatarisha afya na mazingira ya...
Yaani kama vile at any time ataachia risasi! Yaani yuko alert to shoot! I was walking, nikapita karibu naye maana sikuwa na namna ya kumkwepa.....mimi hapa naye huyu hapa! Nikageuka...
MAMENEJA WA RUWASA, TANROADS MARA WAONJA ‘JOTO YA JIWE’ KWA WAZIRI MKUU
WAZIRI MKUU Dkt Mwigulu Nchemba amewabana Mameneja wa RUWASA na TANROADS mkoani Mara kwa kuwahoji maswali huku akiwaonya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.