Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo yaomba Tsh Bilioni 525.3 kwa ajili ya kutekeleza majukumu ya wizara mwaka wa fedha 2026/2027

Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo yaomba Tsh Bilioni 525.3 kwa ajili ya kutekeleza majukumu ya wizara mwaka wa fedha 2026/2027

Mwizukulu wa Buganda

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2024
Posts
786
Reaction score
1,988

Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo yaomba Tsh Bilioni 525,327,857,000 kwa ajili ya kutekeleza majukumu ya wizara kwa mwaka wa fedha 2026/2027

Pia soma Didier Drogba atinga bungeni kushuhudia uwasilishwaji wa bajeti ya Wizara ya Habari

Mchanganuo
1. Tsh Bilioni 39,071,597,000 kwa ajili ya mishahara
2. Tsh bilioni 28,065,472,000 ni matumizi mengineyo
3. Tsh bilioni 458,190,778,000 kwa ajili ya miradi ya maendeleo
 
Aaargh, siku watu wenye akili zao timamu watakapo amini Makonda anastahili hiyo nafasi ndio tutakuwa na shida ya kweli.

Vinginevyo afanye anavyotaka, kuamini huyo taahira ni mmbunifu ndio utaahira; au makamu wake ana akili.

Hizi ni zama za kupiga
 
Hivi hizi bajeti hazipo public ili watu wapitie na kutoa maoni yao kweli?
 
Wamemlipa dollars Didier Drogba kuja kulamba lips bungeni wakati watoto bado wanakalia matofali shuleni, sijui hawa jamaa wasenge!
 
Bilioni 500 kwa kitu gani hasa? Bora wapambane kuhakikisha Starlink inaingia Tanzania vizuri, imagine dish moja tu la Starlink linaweza supply internet kwa shule nzima nina uhakika innovations, biashara mpya na opportunities zingekuwa nyingi sana
 
Hapo hiyo 25 billion ni ya makonda pekee, inaenda ku boost Makonda wall putty company, na hizo nyingine ataendelea kuzikata nundu kwa kadri itakavyowezekana.
 
Back
Top Bottom