Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Redirect
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha Watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Ameelekea Nchini Angola ambako amepata Heshima kubwa ya Kuwa Mgeni...
1 Reactions
– Replies
– Views
Msemaji wa Timu za Tanzania Haji Manara amewataka Wanasiasa Nchini kutokuisemea Vibaya Tanzania juu ya Mashindano ya AFCON Yanayoandaliwa Kwa ushirikiano wa Tanzania,Kenya pamoja na Uganda. Kauli...
2 Reactions
51 Replies
1K Views
Wakili Peter Madelekea akizungumza kwenye mahojiano na Crown Media Julai 30, 2026 amesema kuwa nchi tayari ina Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora iliyoundwa kwa mujibu wa Ibara ya 129(1) ya...
1 Reactions
2 Replies
144 Views
Tanzania na Angola zaendelea kuimarisha ushirikiano wa kimkakati kupitia Mkutano wa Tatu wa JPC Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Dkt. Mahmoud Thabit Kombo...
0 Reactions
1 Replies
79 Views
Hakika ukitaka kudhalilika Chukua cheo cha CCM Huyu Dadaangu huwezi kudhani kama aliwahi kuhudumia Kimataifa, Yaani Unyama wote unaotendwa na Chama chake kanyamaza kimya as if hana ndugu nchi...
17 Reactions
32 Replies
689 Views
Mkutano wa Rais Samia Suluhu Hassan, na viongozi wa vyama vya siasa uliofanyika Ikulu, Dar es Salaam Julai 30, umeibua tena mjadala kuhusu mwelekeo wa maridhiano nchini baada ya kipindi cha...
2 Reactions
14 Replies
264 Views
Uholanzi ni mfano wa nchi iliyoonyesha kwamba usalama wa taifa haujengwi kwa kuongeza magereza pekee, bali kwa kupunguza sababu zinazowasukuma watu kuingia kwenye uhalifu. Kwa miongo miwili...
4 Reactions
5 Replies
178 Views
RAIS Samia Suluhu Hassan amepewa tuzo maalumu na wakandarasi nchini kwa kuthamini mchango wake na hatua alizochukua kwenye sekta ya ujenzi tangu aingie madarakani miaka minne iliyopita. Rais...
2 Reactions
17 Replies
774 Views
Hali ya Barabara Kuu kutoka Dareda Mkoani Manyara hadi Singida ni mbaya kwa kweli, magari yanalazimika kutembea kwa mwendo mdogo kwa kuwa mashimo ni mengi na ukienda kwa mwendo wa kasi unaweza ama...
2 Reactions
15 Replies
483 Views
Bado siku 5: mkutano mkuu wa wanahisa na jukwaa la miundombinu Afrika 2026.
0 Reactions
0 Replies
60 Views
Hii ni kufuru na dhihaka kwa wahanga wa October 29. Watu wameuawa kinyama, hakuna hata mtu mmoja aliyewajibika au kuwajibishwa kwa hayo mauaji ya kikatiri halafu unasema tupo vizuri kisiasa. Hili...
9 Reactions
24 Replies
257 Views
Kuna wabobezi wa masuala haya kama kaka yetu Evarist Chahali watadadavua tetesi tulizopata hizi Nimepenyezewa kwamba mwaka 2015 bwana mkubwa ambaye anaongoza visiwa vya Guam alikuwa na ushindani...
37 Reactions
284 Replies
55K Views
CCM chama changu HUWA mnakurupuka sana,sijui akili zenu HUWA mnamwazima nani wakati wa kupitisha SHERIA tata kama hizo. Hivi mnajua baada ya hapo mnatakiwa muwe makini mnapokosoa serikali!!?yaani...
13 Reactions
15 Replies
3K Views
Akizungumza katika mahojiano na Crown Media Julai 30, 2029, Wakili Peter Madelekea amedai kuwa nchini kuna aina ya "ugaidi wa kisiasa" ambao unatumika kimkakati ili kutengeneza mazingira ya...
1 Reactions
2 Replies
137 Views
Hamjambo! Mimi sijambo Unapoingia kwenye siasa usiingie kichwa kichwa kama panya kwenye shimo ambalo hakulichimba. Asilimia kubwa ya watu siasa kwao ni fursa ya kibiashara na kiuchumi. Wao...
1 Reactions
2 Replies
103 Views
Assalam alaykum Ukisikiliza kwa uzuri kauli ya kiongozi ya jana ukiunganisha na uamuzi wa mahakama ya rufaa utang"amua kuwa huenda mh Tundu Lissu ataachwa huru hivi punde. Serikali imekubali...
14 Reactions
27 Replies
663 Views
Chadema haiwezi kuwa na wazee kama hawa. === Katibu wa Baraza la Wazee la CHADEMA Jimbo la Katavi, Anthony Kalala amesema walipanga kufanya maandamano ili Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA akae...
6 Reactions
23 Replies
458 Views
Wakuu amani ya Bwana iwe juu yenu kila mmoja kwa imani yake popote mlipo Rejea mada Tajwa hapo juu Ccm ni chama cha mda mrefu , ila unaweza jiuliza kwa vijana katika chama husika wote ni vilaza...
11 Reactions
36 Replies
484 Views
Unadhani hii inaweza kua imetokana na nini na inaonyesha picha gani kubwa na ya jumla kisiasa humu nchini? Sifahamu sana ikiwa vyama vingine vya siasa nchini viko katika hali ya kutokubalika kama...
3 Reactions
60 Replies
577 Views
Na. M. M. Mwanakijiji Inashangaza na inakera kwa wakati mmoja. Mojawapo ya mambo yanayoshangaza sana ni kwa jinsi gani wapinzani uchwara wa CHAUMA wanajitahidi sana kufuatilia mambo yanayoendelea...
26 Reactions
33 Replies
686 Views
Back
Top Bottom