Kwa sasa serikali imejifungamanisha na kanisa la KKKT, wanapewa mabilioni kwa kofia ya harambee, wakristo wa kweli ukataeni huu ushenzi, kanisa linapokea rushwa, kanisa limekubali serikali...
Serikali za Tanzania na Serikali ya Marekani zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) ya ushirikiano katika sekta ya afya ya miaka mitano itakayotekelezwa kuanzia mwaka 2026 hadi 2030, yenye thamani ya...
Haya sasa, Mbunge Msukuma kawatolea uvivu wale walio ingiza maneno fiksi juu ya ajira na mambo ya Afya inapokuja waTanganyika huko Zanzibar.
Msukuma kajieleza vizuri alipoongea na waandishi wa...
KAFULILA: ECOSYSTEM YA UBIA INAJUMUISHA WANANCHI, SERIKALI NA SEKTA BINAFSI
==
Akijibu masuala ya wadau katika Kongamano la Kitaifa la Nishati, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha PPP (PPPC), Bwana...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imegundua mipango ya uvunjifu wa amani inayopangwa, na inapochukua hatua wahamasishaji wanakuwa wakali wanatafuta pa kuegemea pamoja na...
TLS Tanganyika Law Society wamepewa magari 2 Toyota Hard Top wameshangilia na kumshukuru Samia.
PUZZLE: Chadema wakipewa msaada kama huo watapokea na kushukuru? Erythrocyte
Huwa naangalia drama za Tundu Lissu akipelekwa au akiwa mahakamani nashindwa kuelewa tatizo liko wapi. Ni kwamba serikali, polisi na magereza wanaogopa atatoroka au nini hasa, kwamba watu...
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Nchi yetu imesaini makubaliano muhimu ya sekta ya Afya yenye thamani ya bilioni 3.1.
Hili sio jambo dogo hususani ukiangazia mwenendo wa ufadhili wa USA kwa...
Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala, amesema mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu ameiambia mahakama kuwa amekaa mahabusu kwa siku 139 tangu...
"Wamepanga kupiga Risasi Waandamanaji ili Waseme ni Serikali "
Hiii Kauli haikupaswa kutolewa na Mtu wa aina yako kiuongozi hata km ni Serikali Haramu.
Hii ni Kauli inayovua Nguo Vyombo vya...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amezungumzia utaratibu wa maandamano na mikusanyiko ya hadhara kwa mujibu wa Katiba na Sheria, ikiwemo wajibu wa kutoa taarifa kwa Kituo cha...
Taarifa kuwa Rostam Aziz kapewa tuzo ya juu na waziri mkuu Lameck, ni matusi kwa taifa.
Eti kapewa tuzo kwa kuchangia kukuza uchumi! Anachangiaje kwa kutuibia? Je, kuna wakubwa nyuma yake hasa...
RAIS WA MSUMBIJI AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TATU
Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mheshimiwa Daniel Francisco Chapo amewasili nchini kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu, kuanzia...
Wanafungua kwa muda na ku post issues zao...... but this is not practical maana watafungua na kufungua mara ngapi kwa siku?
Au Wanatumià VPN? Sasa kama wanatumia VPN, si na wanachi watafanya...
Kada wa CHADEMA aliyerejea hivi karibuni kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa amesema baadhi ya wanachama wa CCM wanajiona kuwa ni sehemu ya dola, huku serikali ikijiona kama...
Wanazuoni wameweka wazi kuwa nywele zisizo na mpangilio mzuri ni kiashiria cha awali cha ugonjwa wa akili ... haya ameyasema Flament, F, et al (2025)
Someni hyo article
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema chama hicho kinakataa kauli ya Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba kuwa Serikali haina mgogoro na vyama vya siasa(ikiwemo CHADEMA), akidai kuwa kauli hiyo...
Muonekano wa nywele ni kionyeshi cha akili ya mtu, tunatumia nywele kugundua ugonjwa wa akili wa mtu, nywele zisizo na mpangilio ni kionyeshi cha awali cha ugonjwa wa akili (Flament, F, et, al...
Akili zingine huwa zinastaajabisha sana eti waje kushika madaraka ya nchi!?
#Biashara ya vyama vya siasa inalipa sana ona afya zao na mali walizonazo,fananisha na wale wazungusha mikono wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.