Wakili Fatma Karume amesimamishwa kufanya kazi za Uwakili Tanzania Bara, Maamuzi hayo yametolewa na Jaji Feleshi kwenye kesi iliyofunguliwa na mwanaJF Ado Shaibu akipinga uteuzi wa Mwanasheria...
HUKUMU YA KESI YA UCHAGUZI IGUNGA.
Kimoja wapo kilichasababisha uchaguzi huo kutenguliwa ni hiki hapa .
Mwingine aliyesababisha uchaguzi huo kutenguliwa ni Mbunge wa Tabora Mjini, Ismail...
Nimeshtushwa na picha iliyopo kwenye ukurasa wa mbele wa moja ya magazeti ya leo. Mbunge wa Tabora mjini Ismail Aden Rage anapanda jukwaani na Libastola kiunoni.
Mungu amejibu swali gumu ni nani...
KUTOKANA vurugu zilizotokea juzi mjini hapa kati ya wafuasi wa CHADEMA na wale wa CCM, uongozi wa CHADEMA Wilaya ya Dodoma umepanga kumburuta mahakamani Mbunge wa Tabora mjini, Ismail Aden Rage...
Huyu ni miongoni mwa wanaccm waliofanya siasa za hovyo zilizojaa kejeli na vitisho , kule Igunga Tabora aliwahi kupanda kwenye jukwaa la kampeni akiwa Bastola kiunoni kwa lengo la kutisha wapiga...
Makonda ndio mwenye ushawishi Kanda ya Ziwa kutokana na hulka yake ya Kimwendazake Mwendazake.
Na huyu isingekuwa uchafu wa Faili lake ndie angekuwa Naibu PM badala ya Dotto Biteko Kwa Ajili ya...
Tegemeeni yale yale, msikenue meno mkasema kutakuwa na unafuu uchaguzi ujao! Msijidanganye kwamba kuna jimbo mtapata, Msidhani Makonda kateuliwa kihasara hasara, hawa wameangalia mtu mwenye roho...
Mh. Tundu Lissu awataja waliohusika kumshambulia.
Tundu Lissu amesema Walionipiga risasi ni Kikosi kazi kilichopo chini ya Rais kikisimasimaiwa na Mkuu wa TISS Kipilimba. Kikosi kazi kimeua...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi (Mb), Jumanne Sagini ameliagiza Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara kutoa gari la kusafirisha mahabusu waliopo katika Gereza la Wilaya Bunda na kuwapeleka kwenda...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tanga, Mhe. Mhandisi Mwanaisha Ng'anzi Ulenge amezungumzia vipaumbele vyake kama Mbunge anayewakilisha Wanawake wa UWT mwaka 2020-2025 Bungeni kutokea Mkoa wa Tanga...
Ninasikitika sana!
Serikali imejisahau au ni watumishi wa umma wamejisahau?
Kuna mtumishi wa ubalozi wa Tanzania nchini Botwana anaonekana kila mwezi akizurura na gari lenye namba za ubalozu...
Zamani serikali ilikuwa inasomesha watanzania abroad. Je, siku hizi haipeleki au watoto wao tu ndio hupelekwa kwa kodi zetu?
C.c watoto wao walipwe mishahara.
Mbunge wa Jimbo la Momba, Mhe. Condester Michael Sichalwe mara baada ya kumalizika kwa Bunge Novemba 2023 alipokea gari la kubeba wagonjwa la Halmashauri ya Momba.
Gari hilo la kubeba wagonjwa la...
Katika ziara ninayoendelea mkoani Kigoma nimefika Kata ya Kagerankanda, Halmashauri ya Wilaya Kasulu. Nimezungumza na viongozi wa Chama wa Jimbo la Kasulu Vijijini, Ukanda wa Makere Kusini katika...
Ni kama wafugaji wa Tanzania hawaelewi umuhimu wa maeneo yanayohifadhiwa na kilindwa kwa maslahi ya Taifa linapokuka suala la wao kuwapatia malisho mifugo yao.
Ni kama pia idara za serikali...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mbunge wa Jimbo la Butiama, Jumanne Sagini ameagiza kukamilika kwa wakati Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Polisi Daraja B cha Wilaya ya Butiama Mkoani Mara...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka Wakuu wa Mikoa na Wilaya zote Zanzibar kuhakikisha wanatoa kipaumbele kwa suala la Ulinzi na usalama...
Nimesoma kupitia mitandao ya kijamii kuhusu mjadala wa kukamilika kwa kituo cha Polisi Butiama kwa thamani ya sh mil 802.
Kwanza nawapongeza waandishi kwa kuibua hoja na mjadala, ingawa hoja na...
Kwanini wanasiasa kutoka kanda ya ziwa wanashambuliwa sana kwenye mitandao ya kijamii. Je, kuna chuki dhidi yao au kuna agenda maalumu asitokee mwanasiasa mwenye nguvu kutawala siasa kanda ya ziwa...