Makonda ana hulka zile zile za Magufuli. Uchaguzi ujao tegemeeni yale yale ya 2020

Mganguzi

JF-Expert Member
Aug 3, 2022
1,032
2,769
Tegemeeni yale yale, msikenue meno mkasema kutakuwa na unafuu uchaguzi ujao! Msijidanganye kwamba kuna jimbo mtapata, Msidhani Makonda kateuliwa kihasara hasara, hawa wameangalia mtu mwenye roho ngumu, na asieogopa chochote.

Huyu amewekwa hapo kuwashughulikia kisayansi, huyu ni Magufulism mwenye vinasaba vya roho mbaya, tukutane 2025 kama upinzani, mtaambulia hata kiti kimoja, mnipopoe kwa mawe.
 
Mama anataka kujificha nyuma ya Makonda 2025.
.
IMG_20201018_091547.jpg
 
Tegemeeni yale yale, msikenue meno mkasema kutakuwa na unafuu uchaguzi ujao! Msijidanganye kwamba kuna jimbo mtapata, Msidhani Makonda kateuliwa kihasara hasara, hawa wameangalia mtu mwenye roho ngumu, na asieogopa chochote, huyu amewekwa hapo kuwashughulikia kisayansi, huyu ni magufulism mwenye vinasaba vya roho mbaya, tukutane 2025 kama upinzani, mtaambulia hata kiti kimoja, mnipopoe kwa mawe.
Makonda Kama ataleta mambo ya Dikteta katili Magufuli safari hii tutagawana viwanja wapinzani tumechoka kuonewa

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Tegemeeni yale yale, msikenue meno mkasema kutakuwa na unafuu uchaguzi ujao! Msijidanganye kwamba kuna jimbo mtapata, Msidhani Makonda kateuliwa kihasara hasara, hawa wameangalia mtu mwenye roho ngumu, na asieogopa chochote.

Huyu amewekwa hapo kuwashughulikia kisayansi, huyu ni magufulism mwenye vinasaba vya roho mbaya, tukutane 2025 kama upinzani, mtaambulia hata kiti kimoja, mnipopoe kwa mawe.
Uongozi ukiwa dhaifu mnasema watu wanaiba pesa za Serikali, uongozi haufai na hii nchi inataka Rais jasiri sijui nini nini..!!! Wakija hao watu jasiri na wathubutu, wazarendo watetea haki, mnawasema tena ni dikteta wasiofaa, waTanzania mchawi wenu alisha kufa
 
Makonda ni mwenezi tu wa chama, wenye mamlaka ya uchaguzi ni tume, Rais, Dola na serikali kwa ujumla.

Kumuogopa Makonda ni dalili nyingine ya upumbavu wa Wawatanzania, yaani mtu mmoja Makonda sijui mwenezi wa chama ndio awasumbue msiwe na chakumfanya wakati yupo tu huko mtaani.
 
Kwani kamaonda ni tume ya uchaguzi? Makonda anasimamia uchaguzi? Makonda ni muhesabu kura?

Mbona mnamuogopa sana Makonda? Huyu mtu mbona amawafanya mmekosa amani kabisa? Mbona mmeingiwa na woga sana sana?
 
Hivi katiba yetu inamtambua makonda? Tupeni kifungu kinachompa hio nguvu.
 
Makonda ni mwenezi tu wa chama, wenye mamlaka ya uchaguzi ni tume, Rais, Dola na serikali kwa ujumla.

Kumuogopa Makonda ni dalili nyingine ya upumbavu wa Wawatanzania, yaani mtu mmoja Makonda sijui mwenezi wa chama ndio awasumbue msiwe na chakumfanya wakati yupo tu huko mtaani.
Suala siyo kuogopana! Ni wakati mnafiki mmoja anayejiita rahis! anawadanganya wananchi wake na mavi ya 4rs huku akileta muuaji na kiongozi wa wauaji atakaowatuma. Tunajua yakitokea ya mwendazake ni yake!
Ile tu kulaani yaliyotokea kwa miaka mitano na upande mwingine kutuletea yule hench man wa ule ushetani ni UNAFIKI!
 
Hivi katiba yetu inamtambua makonda? Tupeni kifungu kinachompa hio nguvu.
anajukikana na katiba ya CCM. Jamaa ni mdogo sana, hata ukimgomea live hakufanyi lolote sana sana ni kukusemea kwenye vikao vya chama.
 
Tegemeeni yale yale, msikenue meno mkasema kutakuwa na unafuu uchaguzi ujao! Msijidanganye kwamba kuna jimbo mtapata, Msidhani Makonda kateuliwa kihasara hasara, hawa wameangalia mtu mwenye roho ngumu, na asieogopa chochote.

Huyu amewekwa hapo kuwashughulikia kisayansi, huyu ni Magufulism mwenye vinasaba vya roho mbaya, tukutane 2025 kama upinzani, mtaambulia hata kiti kimoja, mnipopoe kwa mawe.
Hulka sio za Makonda wala sio za Magufuli. Ni hulka na mipango kamili ya CCM.
 
Uongozi ukiwa dhaifu mnasema watu wanaiba pesa za Serikali, uongozi haufai na hii nchi inataka Rais jasiri sijui nini nini..!!! Wakija hao watu jasiri na wathubutu, wazarendo watetea haki, mnawasema tena ni dikteta wasiofaa, waTanzania mchawi wenu alisha kufa
Hebu nitajie mwizi wa kweli wa pesa za umma toka ccm aliyefikishwa mahakamani wakati wa Magufuli.
 
Back
Top Bottom