peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 12,829
- 21,460
Ninasikitika sana!
Serikali imejisahau au ni watumishi wa umma wamejisahau?
Kuna mtumishi wa ubalozi wa Tanzania nchini Botwana anaonekana kila mwezi akizurura na gari lenye namba za ubalozu wetu nchini Botswana.
Sababu za kimsingi kuwa na gari hilo mkoani kilimanjaro ni kuhudhuria mahakamani kwenye kesi iliyofunguliwa mahakama kuu baada ya kununua mali haramu kupitia madalali na sasa anatumia kodi za Watanzania kuhudhuria kesi binafsi.
Ninaishauri serikali idhibiti matumizi ya kodi za wananchi kwa kuzuia matumizi mabaya ya kiofisi.
Ninashauri waziri makamba mpe uhamisho kijana huyo arudi wizarani ili kupunguza matumizi mabaya ya kodi za wananchi.
Huwa anatokea Botswana anatokea zambia na kuingia mpakani eneo la Tunduma..
Picha za gari hilo nitaziweka hapa.