Wapiga kura wa Tabora mjini jihadharini na Aden Rage. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapiga kura wa Tabora mjini jihadharini na Aden Rage.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ebaeban, Aug 22, 2012.

 1. e

  ebaeban JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 1,834
  Likes Received: 600
  Trophy Points: 280
  • HUKUMU YA KESI YA UCHAGUZI IGUNGA.

  Kimoja wapo kilichasababisha uchaguzi huo kutenguliwa ni hiki hapa .

  Mwingine aliyesababisha uchaguzi huo kutenguliwa ni Mbunge wa Tabora Mjini, Ismail Aden Rage (CCM), ambaye alidaiwa kutumia lugha ya uongo kwa lengo la kupotosha wapiga kura.

  Kwa mujibu wa Jaji Shangali, Rage aliwaambia wananchi wa Igunga kuwa, Mgombea wa Chadema amejitoa katika uchaguzi huo na kwamba alifanya hivyo kwa kutumia gari lake. Pia alisema kwamba, kosa hilo alilolifanya Rage kisheria angestahili kufungwa jela miaka miwili.

  Alisema pia kwamba, mbunge huyo alihusika katika vitendo vya kujenga hofu kwa wapiga kura baada ya kupanda jukwaani na bastola wakati akihutubia mkutano wa kampeni. Inasemekana kitendo cha Rage kupanda jukwaani na silaha hiyo, kiliwafanya wapiga kura kuhofia na hivyo kuleta dosari katika uchaguzi huo.
   
 2. M

  Mujwahuzia Senior Member

  #2
  Aug 22, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watanzania Tuna kawaida ya kujisahau Ismael Rage ni (Msomali) wa Tanzania lakini wtz kawaida yetu tunajisahau pale mtu anapojionyesha na vijisenti wanyamwezi wa Igunga walishindwa kumsikiliza mzawa mnyamwezi mwenzao kaenda kuwaongopea ndugu zake ona sasa mtu anayejifanya anazijua sheria alivyomuondolea ugali mwenzake Dalali Kafumu Rage ni mtu wa kutaka sifa ya nguru tu. kwenye mambo ya siasa hana utalaamu nayo yeye anazijua fitina za mpira wa Simba na Yanga
   
 3. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Huyu maharage aka RAGE ni mwizi, aliiba hela za Yanga USD 40,000/= akiwa kiongozi wa FAT na akalala jela,
  ingawa baadae mahakama ilijaribu kumsafisha
   
 4. a

  afwe JF-Expert Member

  #4
  Aug 22, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 4,087
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  rage alisha wahi kupatika na hatia na akafungwa jela how comes aje kuwa kiongozi katika jamii yenye maadili mema? msisahau pia kuwa yuko shallow minded na anaweza kufanya lolote for the sake of kupata kula. Ni vema sasa wapiga kura wake watafunguka macho na akili kujua yeye ni nani
   
 5. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #5
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Huyu ndugu pia alishawahi matukioa mengi yasiyostahili mpaka akufungwa. Pia aliwahi kukaririwa akitoa lugha isiyostahili bungeni. Na sasa kumbe alichangia kuvuruga uchaguzi .... sikulijua hili!
   
 6. kiroba

  kiroba JF-Expert Member

  #6
  Aug 22, 2012
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 324
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Binafsi sijashangaa sana kwa hukumu iliyotolewa. Watu wa aina ya aden Rage ni hatari sana kwa taifa letu japokuwa viongozi wetu wakuu hawalioni hili. Huwezi ukawa na watu aina ya akina Rage halafu uendeshe uchaguzi wa haki na usio na dosari.

  Unajua wenzetu wasomali wana kama asili ya vurugu vurugu hivi, hivyo kupanda na bastola kwenye mikutano ya hadhara hasa ya kisiasa ni kawaida tu. Unajua Rage anachukulia siasa kama uhasama fulani hivi. Yupo tayari kwa mauaji wakati wowote. Poleni sana wana wa ccm wilaya ya Igunga kwa kumpoteza mbunge Dr Kafumu kwa upuuzi wa akina Rage na washirika wake.

  CCM safi ni ile itakayojiepusha na siasa za akina Rage, Wasira, Magufuli, Anne Kilango, Olesendeka, Nape, Kikwete, na wengine wengi wenye mtizamo hasi kwenye uwanja wa kisiasa kwa mfumo wa vyama vingi. Siasa za mfumo wa vyama vingi ni kushindana kwa hoja na wala sio vitisho na ubabe wa kutishiana silaha wazi wazi.
   
 7. CHABURUMA

  CHABURUMA Senior Member

  #7
  Aug 22, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 152
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mmaharage aka Rage nimeipenda sana hiyo pia kuna mafisi!!
   
 8. Opaque

  Opaque JF-Expert Member

  #8
  Aug 22, 2012
  Joined: Oct 24, 2008
  Messages: 1,138
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Jaji alienda mbali zaidi kwa kusema kuwa Aden Rage anaweza kufungwa kifungo cha miaka miwili jela kutokana na kutangaza kwa kutumia gari lake kuwa mgombea wa CHADEMA amejitoa. Nadhani CHADEMA wafuatilie kauli hii ya Jaji ili Rage afungwe kwanza, Simba tutachagua mwenyekiti mwingine
   
 9. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #9
  Aug 22, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Bora ange fungwa tu huyu ili ashike adabu!
   
 10. k

  kichenchele JF-Expert Member

  #10
  Aug 22, 2012
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 522
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  nasikia India kuna Mbuge mweusi mwenye asili ya Tz ni kweli
   
 11. Alfred Daud Pigangoma

  Alfred Daud Pigangoma Verified User

  #11
  Aug 22, 2012
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,779
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Watu wa Tabora tumemchoka na Vijana wamemfanyia kitu mbaya yaani wamechukua kilicho chao katika ukumbi wa Rufita Club unaomilikiwa na yeye Mr. Alshabab na kutokomea navyo. Wameng'oa hadi wiring ya umeme katika ukumbi wa burudani hadi masink ya chooni wamebeba yaani inafurahisha sana kuona vijana wanachukua vyao kabla ya 2015.
   
 12. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #12
  Aug 22, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,848
  Likes Received: 473
  Trophy Points: 180
  Tatizo lenu Tabora mnawabeba sana watu wa aina ya kina Lager Rage .Hivi hamna wanyamwezi waliosoma washika hizo nafasi ??????????????? poleni TBR
   
 13. ChescoMatunda

  ChescoMatunda JF-Expert Member

  #13
  Aug 22, 2012
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,189
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Kwakweli nimefurahi ulivyoweka usimba kando siasa safi kwanza.

  Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
   
 14. D

  Deofm JF-Expert Member

  #14
  Aug 22, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 383
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Huko ccm ni nani mwenye maadili mema? wanalindana tu, wamefanya hili li nchi kama shamba la bibi. wanasaidiana kuchota na kupeleka nje, RA yuko wapi sasa hivi? hao walioficha ma-trilioni ya fedha ni akina nani. ccm ilikufa na Nyerere.
   
 15. D

  Deofm JF-Expert Member

  #15
  Aug 22, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 383
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hakuna ccm kama hiyo mwenzangu, ukiwaondoa hapo na ccm imekufa.
  pamoja na vitisho vyote hivyo bado huyo dalali alishinda kwa kura chache tu tena nina wasiwasi za wizi, kama hao wasingekuwapo na kufanya yote waliofanya hadi kuua naamini kuwa huyo dalali agepata chini ya 20%
   
Loading...