Je, kwa ufadhili huu wa ubobevu tutapata wataalamu wa kutengeneza hata droni?Siku hizi wanatoa scholarships kwenye ubobevu, Masters na kuendelea, Bachelor wote tunasoma humu humu
InapelekaZamani serikali ilikuwa inasomesha watanzania abroad. Je, siku hizi haipeleki au watoto wao tu ndio hupelekwa kwa kodi zetu?
C.c watoto wao walipwe mishahara.