Bastola ya Aden Rage na CCM

emrema

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
268
42
rage.jpg

Nimeshtushwa na picha iliyopo kwenye ukurasa wa mbele wa moja ya magazeti ya leo. Mbunge wa Tabora mjini Ismail Aden Rage anapanda jukwaani na Libastola kiunoni.

Mungu amejibu swali gumu ni nani anaeleta vurugu kwenye kampeni za Igunga? Bastola ya nini kwenye mikutano wakati kuna wanausalama weengi hivyo?

CCM NI HATARI JAMANI NI KIFO..
 
Uwezo Tunao

JF-Expert Member
Nov 14, 2010
6,942
1,189
Bastola????????????

Nimeshtushwa na picha iliyopo kwenye ukurasa wa mbele wa moja ya magazeti ya leo. Mbunge wa Tabora mjini Ismail Aden Rage anapanda jukwaani na Libastola kiunoni. Mungu amejibu swali gumu ni nani anaeleta vurugu kwenye kampeni za Igunga? Bastola ya nini kwenye mikutano wakati kuna wanausalama weengi hivyo? CCM NI HATARI JAMANI NI KIFO..
 
Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,891
7,390
Naona ni kutaka kuwatia hofu wanaIgunga lakini ieleweke hata wakiyaacha magari yao wakaenda na vifaru na mizinga bado havitawasaidia kulitetea jimbo
 
Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,550
5,687
Hiyo bastola itaanza kumshughulikia yeye mwenyewe na mabwana zake.
 
Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,063
67
Nimeshtushwa na picha iliyopo kwenye ukurasa wa mbele wa moja ya magazeti ya leo. Mbunge wa Tabora mjini Ismail Aden Rage anapanda jukwaani na Libastola kiunoni. Mungu amejibu swali gumu ni nani anaeleta vurugu kwenye kampeni za Igunga? Bastola ya nini kwenye mikutano wakati kuna wanausalama weengi hivyo? CCM NI HATARI JAMANI NI KIFO..
Wanajihami bwana , Kama watu wanamwagiwa tindikali na wengine kuchomewa nyumba ni lazima kujihami manake muda wowote unaweza kuvamiwa hata jukwaani si unajua tena kauli mbiu ya HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE
 
Kimbunga

Platinum Member
Oct 4, 2007
14,915
9,872
Nimeshtushwa na picha iliyopo kwenye ukurasa wa mbele wa moja ya magazeti ya leo. Mbunge wa Tabora mjini Ismail Aden Rage anapanda jukwaani na Libastola kiunoni. Mungu amejibu swali gumu ni nani anaeleta vurugu kwenye kampeni za Igunga? Bastola ya nini kwenye mikutano wakati kuna wanausalama weengi hivyo? CCM NI HATARI JAMANI NI KIFO..

Mabaunsa wasogee sasa!! Rage ni mtoto wa SAIGON sasa anafanya advertise ili kama kuna baunsa alikuwa anataka kusogea hapo ajue kwamba jamaa yupo fit.
 
Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,063
67
Mabaunsa wasogee sasa!! Rage ni mtoto wa SAIGON sasa anafanya advertise ili kama kuna baunsa alikuwa anataka kusogea hapo ajue kwamba jamaa yupo fit.
Hakika. Unajua watanzania wanajua na wanaweza kupembua mchele na Pumba. Vitisho vya hakuna kulala mpaka kieleweke, Nguvu ya Umma ndo inapelekea yote hayo. Jamaa yetu FREEMANSONY atakosa kweli paja la kuku? kapata mbabe mwenzake
 
Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,063
67
Hiyo bastola itaanza kumshughulikia yeye mwenyewe na mabwana zake.

Hawa ndiyo watanzania wanaojiita great thinkers kweli? matusi ya nini sasa ? ebu tujenge taifa kwa kutoa michango yenye matinki , wewe bora utoke hautufai humu
 
ndenga

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
1,783
1,288
Sheria haikatazi mtu kumiliki silaha, ila hili la kuionyesha hadharani kama simu ya BB ni kosa kubwa tena ni kuwatisha wananchi. Watu kama hawa ndio wanaoendelea kutia doa kampeni za CCM. Yaani CCM imekosa watu wote mpaka inaenda kumchukua Rage...ananikumbishia alivyokuwa FAT ya zamani alikuwa mbishi sana..
 
Jidu

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
1,224
732
Hawa ndiyo watanzania wanaojiita great thinkers kweli? matusi ya nini sasa ? ebu tujenge taifa kwa kutoa michango yenye matinki , wewe bora utoke hautufai humu
Laiti wakati wa kujiunga JF kungekuwa na usaili wengi tungewekwa kando!
 
mtu chake

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
27,832
57,626
kufanyahivi ina maanisha nini......
 
Attachments

  • rage na bunduki.jpg
    rage na bunduki.jpg
    6.9 KB · Views: 738
6 Reactions
Reply
Top Bottom