Ipo habari msisimko isiyofahamika na wengi kumhusu Aliyewahi kuwa W NJ ndugu Benard Membe aliyetangulia mbele za haki na ndugu Paul Makonda aliyepata kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. Nyuma ya...
Masa 24 unalala kwenye sakafu.
Dhamana za polisi ni ngumu kupata.
Mahabusu wanacheleweshwa kupelekwa mahakamani kinyume na sheria.
Sakafu ni baridi kanakwamba zimemwagiwa barafu.
Waziri yupo...
Hivi ndivyo mkoloni alivyofanya,aliiba maliasili za Tanzania na kuzipeleka kwao Ulaya,sasa hivi Watanzania tunafanya wenyewe,tunaiibia Tanzania tunapeleka Ulaya,mambo kidigitally mzungu katulia tu...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imekipongeza Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kwa kupanua wigo wa katika Mikoa mingine ikiwemo Kampasi za Mwanza na Mbeya...
Nasikitika mno kiwanda cha viwatilifu vya kuulia mbu hakifanyi kazi, licha ya kufunguliwa na kutolewa maelezo kwa mbwembwe na wanasiasa wa VYEO vya juu nchini.
Juzi Kati katika bunge hili la...
Rais wa awamu tatu Benjamin William Mkapa alipoingia madarakani aliunda tume iliyoongozwa na Jaji Warioba, kuchunguza rushwa na udhibiti wake.
Kila mmoja aliunga mkono dhamira ya dhati ya Ben...
Nakumbuka zamani miaka ya mwishoni mwa 90's na hadi mwanzoni mwa miaka ya 2000's jamii ya watanzania walikuwa wanaheshimu sana wimbo wa Taifa hasa hasa panapokuwa na tukio la kitaifa.
Wimbo wa...
CDE. RIZIKI KINGWANDE AKAGUA MRADI WA UJENZI WA VYUMBA 4 VYA MADARASA NA OFISI 3 KATIKA S/MSINGI MWAIKISABE - CHEMBA
Asema UWT Yaridhishwa na Utekelezaji wa Mradi huo.
Pia, Ametembelea na...
KOMREDI. KAWAIDA KUZUNGUMZA KUSIKILIZA KERO ZA VIJANA KATIKA OFISI NDOGO YA MAKAO MAKUU UPANGA-DAR ES SALAAM TAREHE 25
🗓 Novemba 24, 2023.
📍Upanga-Dar es Salaam
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema sherehe za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar Januari 12 zitafanyika katika uwanja wa Amaan...
ELIMU ILIFIA CHUO KIKUU au ILIZIKWA CHUO KIKUU?
Imeandikwa na ASKOFU BAGONZA
Mzee Jenerali Ulimwengu kasema vyuo vikuu vyetu ni kama Extended High School. Anayebishi anitafute. Sababu ni nyingi...
Hii ni benki chini ya JIJI LA DAR ES SALAAM, ni benki ya siku nyingi ila tabia zake haziendani na matakwa ya RAIS SAMIA kuwapunguzia mzigo wafanyakazi wanaokopa kujikwamua kiuchumi!
Benki hii...
Kutokana na mgogoro wa ardhi unaoendelea Wilayani Kiteto Mkoani Manyara, baadhi ya Wakulima wa Vijiji vya Mwitikira, Ndaleta, Katikati na Ngabolo inadaiwa wamekamatwa na Polisi na wamewekwa ndani...
Wape onyo hilo wakae wakijua kuwa CCM wanafanya huo unaoitwa uwekezaji bila ridhaa ya wananchi. Hivyo ikitokea upinzani ukashika madaraka, utafuta mikataba yote na hatutalipa fidia maana tumewapa...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini (Mb) amewasisitiza wafungwa na mahabusu wanaotarajia kumaliza kutumikia adhabu zao Gerezani waongeze juhudi katika kumuomba Mungu ili...
MBUNGE SUBIRA MGALU: UWT CHINI YA MWENYEKITI WETU MAMA CHATANDA HATUJAAMINIWA KUJA KUUZA SURA, MRADI HUU UCHUNGUZWE
Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mama...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Zanzibar: Serikali kuwalipa fidia Wananchi wa Bumbwini waliopitiwa namradi wa barabara na ujenzi wa Bandari Jumuishi ya Mangapwani.
Wakuu,
Nasikitika zaidi ya kujua kuwa John Tendwa ni Msajili wa Vyama vya Siasa (Registrar of Political Parties) nchini lakini nashindwa kupata background yake kabisa.
Kama kuna wadau wanaweza...
Leo ndo ile siku imewadia ambapo Mkutano wa Wakuu wa Nchi Afrika Mashariki wa siku mbili utaanza huko Jijini Arusha ambao awali ulipaswa nchini Burundi, kura imeiangukia Tanzania ambayo imetajwa...