Komredi Kawaida Kuzungumuza na Kusikiliza Kero za Vijana Katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu Upanga, Dar es Salaam

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,897
941

KOMREDI. KAWAIDA KUZUNGUMZA KUSIKILIZA KERO ZA VIJANA KATIKA OFISI NDOGO YA MAKAO MAKUU UPANGA-DAR ES SALAAM TAREHE 25

đź—“ Novemba 24, 2023.
đź“ŤUpanga-Dar es Salaam

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa Komredi. Mohammed Ali KAWAIDA (MCC) Kuzungumza na Vijana katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya UVCCM Upanga-Dar es Salaam, siku ya Jumamosi tarehe 25 Novemba, 2023. Kuanzia saa 2:00 Asubuhi hadi 9:00 Alasiri.

Lengo la mazungumzo hayo ni kusikiliza Kero na Changamoto wanazokumbana nazo Vijana katika shughuli zao za kila siku na kuzitafutia ufumbuzi.

#SautiYaVijana
#KaziIendelee
#UVCCMKazini
#KulindaNakujengaUjamaa
#SisinaMamaMleziwaWana

Imetolewa na
Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM-Taifa
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2023-11-24 at 14.49.12.jpeg
    WhatsApp Image 2023-11-24 at 14.49.12.jpeg
    113.7 KB · Views: 2
hivi tanzagiza ni nchi ya kukaa kusikiliza kero kweli? nchi ambayo ina kila aina ya matatizo yajulikanayo na binadamu Dunia hii, si achague tu moja analoliona? hata aanze na kutoa sadaka tu kwa yatima, watoto wamezagaa mitaani, tanzagiza haihitaji sijui kusiliza kero kwa maana kila mahali zinaonekana aanze tu na chochote, hata tu aanze kunawa mikono na sabuni akitoka chooni kabla ya kusalimia au kushika chakula au hata kubeba mtoto mdogo …
 
Back
Top Bottom