Nadhani mamlaka zinazomsaidia Mh.Rais kupata wateule ni vema zikawa makini sana kwenye kipengele cha vetting.
Wateule wengi pamoja na udhaifu wa binadamu wana kashfa za kujitakia ambazo ni aibu...
Huu ni ushauri ambao naupeleka kwa Ndugu Paulina Gekul, ambaye ametumbuliwa kwa ukatili dhidi ya Ubinadamu, kwamba Nchini Tanzania unaweza ukafutwa uanachama na chama chako au ukajifuta mwenyewe...
Mkuu wa mkoa wa Njombe amesema amegundua wizi wa vifaa tiba mahospitalini umetapakaa nchi kwa watumishi wa uma kuuziana vifaa hivyo kila vinapoletwa na serikali!
RC Mtaka amefanya ziara kwenye...
Moja ya mawaziri wazuri wachapa kazi ktk awamu hii ni Dorothy Gwajima na Ummy Mwalimu.
Uchapakazi wao ni makini na wanaooneka wanapenda kazi. Yaani, wanaishi Ili wafanye kazi, na siyo wanafanya...
Mtifuano uliotokea Tweeter kati ya Maria Sarungi na Martin Maranja unapaswa kuwabadili kifikra vijana. Ni mtifuaano ambao umepelekea mataifa yaliyoendelea kuwa na watu wengi wanaoweza kuhoji na...
Usipofanya hivi hata ukiteua Katibu Mkuu mpya wa CCM (kama hizi taarifa za Daniel Chongolo kujiuzuru kama Katibu Mkuu wa CCM Taifa) ni za kweli basi utakuwa hakuna Ulichokifanya na ni sawa tu...
BARUA YA WAZI KWA RAIS JOHN MAGUFULI KUHUSU UTAWALA WA SHERIA
Mheshimiwa John Pombe Magufuli,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ikulu, Dar Es Salaam
Agosti 30, 2018
UTANGULIZI...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Prof. Joyce Ndalichako amempongeza Rais wa JMT DK. Samia Kwa kuwafuta machozi wastaafu ambao pesa zao zilikuwa zimekwama Toka mwaka 1999 Kwa kulipa 2.17T out of...
Wanachama wa Chama cha Walimu nchini tunashuhudia kwa macho yetu tabia ya kudhoofisha chama chetu inayofanywa na Bwana Maganga bila aibu. Hali hii inakasirisha na kuleta wasiwasi juu ya hatma ya...
Wadau nawasabahi.Mada yangu inajieleza hapo juu. Ili kupunguza Msongamano na foleni kubwa za magari jijini njia pekee yakuwafanya wenye Magari binafsi kuacha kuyatumia kuingia jijini na badala...
Kama kuna kosa amewahi kufanya Rais Samia na linaweza kuja kumgharimu Big time ni kumuamini huyu nyoka aliyekuwa kiongozi wa kundi la watu fulani waliokuwa wakitumika kwa mlengo wa kikundi fulani(...
Well, Tarehe 29/11/2023 Ni Siku Nyingine Tena ambayo kamati ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM itakwenda kuketi Kama ilivyo Ada, Ni Kwenda kutimiza Majukumu yake.
Wakati Kama huu...
Mosi aliugua corona, pili ni Bankster alipitia World Bank na tatu hakuwa Makamu wa Rais kwa bahati mbaya.
Sasa anzeni kumjadili Mpango Phillip na muone jinsi mtakavyoishi naye kwani ndiye Rais...
Na Joseph Ngilisho Arusha
WAZIRI mkuu,Kassimu Majaliwa,amewataka Wataalamu wa mipango Nchini kuhakikisha wanatekeleza majukumu waliyopewa Kwa kuwa wao ni kiungo muhimu katika maendeleo ya nchi...
Kuna kila dalili inayoonyesha Freeman Aikel Mbowe unachochea moto kuhusiana na tuhuma dhidi ya Sabaya.
kwanza ni mahusiano yako ya karibu na mfanyabiashara na wafanyabiashara baadhi wa mahotel...
Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo Mhe. Muharami Shabani Mkenge, Amepokea kwa Masikitiko Makubwa kifo Cha Diwani Kata ya Fukayosi Mhe Ally Ali Issa
Anatoa pole Kwa Mhe DC, Mkurugenzi Halmashauri...
Siasa za weusi ni nyeusi tii
Kwa mfano nauli mpya mwananchi anaunafuu gani.
Wanasiasa wanamiliki magari nauli kupanda mbunge anabariki tu. Huku akionheza madaladala.
Ni nani anasimama...
Mhe. Rais, sisi wananchi kwa ujumla tunakuomba kwa heshima na taadhima iwe jua na iwe mvua tunataka Katiba Mpya kabla ya 2025.
Usemi kuwa wananchi wanataka elimu kwanza kuhusu Katiba Mpya usemi...
Jeshi la Polisi, ofisi za umma, Mahakama, wafanyabiashara na taasisi za elimu ya juu ni miongoni mwa maeneo yanayoongoza kwa kuwa na vitendo vya rushwa.
Arusha. Rais Samia Suluhu Hassan ametaja...
Kuna jipu kubwa ambalo likiiva litaleta hatari kubwa sana pale mkoa wa kagera wilaya ya kyerwa.
Kuna jamii ya wasukuma imeenda wilayani humo inawahonga viongozi ngazi ya vijiji na viongozi...