ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,110
- 49,826
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Prof. Joyce Ndalichako amempongeza Rais wa JMT DK. Samia Kwa kuwafuta machozi wastaafu ambao pesa zao zilikuwa zimekwama Toka mwaka 1999 Kwa kulipa 2.17T out of 4.6 T.
Aidha Rais Samia amelipa deni la Mifuko ya Wastaafu bil. 500 kati ya bil. 734 ambazo Serikali zilizotangulia zilikopa na hivyo kuleta taharuki ya mifuko kufilisika na kuunganishwa.
Ikumbukwe Madeni haya ndio chanzo Cha kuleta sheria ya wizi ya kikokotoo na kuunganisha Mashirika.
========
RAIS SAMIA ALIVYOFANYA MAKUBWA KWA WASTAAFU,ALIPA SHILINGI TRILIONI 2.17
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Profesa Joyce Ndalichako amesema Rais Samia amefanyakazi kubwa kwa wastaafu baada ya kulipa madeni ya michango ya wastaafu shilingi trilioni 2.17 ambazo hazijawahi kulipwa tangu mwaka 1999.
Akizungumza na na wakuu wa Taasisi za serikali mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma mjini Songea,Profesa Ndalichako amesema kabla ya Rais Samia kulipa deni hilo la wastaafu lilifikia shilingi trilioni 4.6.
Ameongeza kuwa Rais Samia pia ameanza kulipa deni la shilingi bilioni 731 ambazo serikali ilikopa kwenye mfuko wa wastaafu ambapo hadi sasa Rais Samia ameshalipa shilingi bilioni 500.
My Take
Hongera sana Rais Samia.Wengine wanajua kutapanya ila hawajui kutafuta pesa.
Ni mara chache sana Marais dizaini ya Samia Huwa wanapatikana kwenye Nchi.
Tunaomba ufute sheria ya kikotoo na urejeshe Fao la Kujitoa, Mungu atakubariki na kukupa maisha marefu yenye Furaha zaidi.