Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hilo sio dongo kwa vijana wetu wa siku hizi 18-35 years wa kiume. Tofauti na vijana wa kike vijana wa kiume wamekuwa wazembe, slow, hawajitumi wala kujielewa. Tukumbuke vijana wetu wa huko nyuma...
2 Reactions
7 Replies
909 Views
Mwaka 2024 naingia rasimi na maadui wa serikali ya Tanzania akiwemo Choice variable, Lucas mwashambwa na wengine wanaompamba Samia kinafiki huku wakijua kuwa Hali ya kisiasa kwa Samia ni ngumu...
27 Reactions
86 Replies
4K Views
. Katika list ya picha Bora ya Christmas Leo kutoka duniani zalizowekwa kwenye mtandao mkubwa wa BBC world news ni hii walioitaja kuwa picha hiyo ilipigwa unguja Kenya , Sidhani kama mpigaji...
6 Reactions
73 Replies
6K Views
CCM inaitaji katibu mkuu mzalendo, mpigania haki na usawa, mcha Mungu kama vile Humphrey POLEPOLE. This guy huwa namkubari sana ni jeniasi na ni PRO MAGUFULI, na ukimtaja Magufuli kwa mema...
6 Reactions
34 Replies
3K Views
Kama kweli Mh. Boniface Jacob ameamua kufuatilia Vyeti vya Viongozi wetu basi kule Moshi ooh sorry Mwanza yupo Mh. Shigongo ambaye ni Darasa la 7 lakini ana degree! Kama yeye ni mwamba amfate Mh...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Wanajamvi na watanzania kwa ujumla, hasa wafanya kazi wa serikali! Ninachokiañdika hapa, bila shaka ni hitaji la kila mfanyakazi, Mimi nikiwa kama mkulima wa hapa nanjilinji, nimechoshwa na...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Mhe. Rais amefanya jambo kubwa sana kufungua milango upya kwa watu kuja Tanzania . Alikuta nchi imefungwa, tulikuwa kisiwani na sasa amekwenda kuwaleta wageni na kutusaidia watanzania tukubalike...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa serikali ya awamu ya sita chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanya uwekezaji mkubwa katika sekta ya...
0 Reactions
2 Replies
760 Views
Kwema Wakuu! Mpango wangu tangu mwaka jana kama nilivyoandika kwenye uzi hapa Panapo majaliwa mwakani nitajiunga rasmi na siasa za nchi hii. Je, ungependa nifanye siasa na chama kipi? Nilitaka...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Naibu Waziri wa Afya Dk. Godwin Mollel, amewataka Waganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya kuhakikisha wanasimamia ubora wa huduma katika Hospitali na Vituo vya kutolea Huduma za afya na kuhakikisha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mkapa - Benjamin Mkapa Stadium Kikwete - University of Dodoma, Hospitali ya moyo Magufuli- Barabara, Magufuli bus terminal, Ikulu Chamwino Mama Samia Hassan Suluhu nini kikubwa kafanya...
2 Reactions
104 Replies
5K Views
Heri ya Christmas wakuu Mungu akijalia tunaenda kumaliza Mwaka, mkuu wa nchi yetu ametembea Zaidi ya mataifa kuminane hadi Sasa! Kimsingi kuna kauli kubwa husemwa na Wana CCM pamoja na baadhi ya...
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Hakika nimeshangazwa sana kuona kuna wastaafu wa wizara ya ardhi waliostaafu kwa lazima wameitwa na kupewa tena nafasi zile zile walizostaafia na kupewa mikataba. Ni ukweli usiofichika mtumishi...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Nimefika huu mkoa naambiwa maji hamna kwa zaidi ya wiki mbili sasa. Nipo maeneo ya soweto, block Q. Niliwahi kuishi hapa karibu miaka 10 kipindi cha nyuma na hapajawahi kuwa na tatizo la ukosefu...
1 Reactions
39 Replies
2K Views
Wabunge wengi wameanza kuona dalili za hatari KUELEKEZA 2025. Wamekimbilia kwenye majimbo kwa kazi maalumu. Moja ya kazi wanayofanya nikutembelea wazee maarufu nakupiga nao picha , pili nikununua...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Salaam, Shalom!!! I declare interest, Rabbon ni mdau wa watoto, nimekuwa katika kitengo hicho Kwa miaka mingi sasa katika Imani. Viongozi wapo wa Kuzaliwa Toka tumboni, na wapo wa kufundishwa...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
INTIMIDATION NI NINI? INTIMIDATION ina maana na tafsiri mbalimbali hasa ukitegemea na muktadha Stahiki. Intimidation ni kitendo cha kumfanya mtu aogope, yaani akuhofie kiasi kwamba...
5 Reactions
12 Replies
4K Views
Mwl Udadis, Nairobi In November 2023, Kenyans are indeed feeling bewildered and frustrated by the consistent increase in oil prices within their country, especially when global oil prices have...
3 Reactions
5 Replies
976 Views
Huu ni ujumbe wa wazi ninaoupeleka kwa Dr Mpango , ambaye ni Makamu wa Rais wa Tanzania. Tangu itokee sintofahamu ya kutoonekana kwake, Mh huyu alijitokeza kwa mara ya kwanza Kanisani , jambo...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…