Hilo sio dongo kwa vijana wetu wa siku hizi 18-35 years wa kiume. Tofauti na vijana wa kike vijana wa kiume wamekuwa wazembe, slow, hawajitumi wala kujielewa. Tukumbuke vijana wetu wa huko nyuma wale waliomaliza form 6 kuanzia 1995-2005 watakubaliana na mimi.
Sababu mojawapo kwa mawazo yangu ni hizi
1. Shule za kata ni nzuri lakini zimefanya watoto ambao wametokea sehemu za vijijini kutokuwa na wenzao walio tokea maisha ya juu zaidi na hii inaongeza gap kwani watoto wanajifunza kwa wenzao. Mfano huyu Mwigulu wa leo kasiadiwa sana kutoa ushamba wake kwasababu ya kusoma Ilboru na watoto kutokea sehemu tofauti. Lissu na Nyalandu ni hivyo hivyo hiyo ni Ilboru tu. Yaani mtoto wa mkulima alikuwa alija Ilboru akimaliza shule anajua vitu vya Dunia nzima kwasababu watoto wa balozi walikuwa wanasoma pale. Huu ni mfano tu. Sasa vijana wanasoma kata mpaka form 6 na wenzao slow ni ngumu kuja kuchangamka. Wenzao vijana wa kike bado wana shule hizi nyingi.
2. Siasa za Tanzania zimewaaminisha vijana wetu watawasaidia badala ya kuwaaminisha watawawezesha. Hii imeleta utamaduni wa kila siku kulalama kwa serikali badala ya kufikiria njia za kujimudu.
Umasikini ukikuwepo miaka yote Tanzania sasa sisi tuliwezaje miaka ile 1998-2000 wakati hata mitandao ilikuwa ya shida lakini cha ajabu Watanzania wa diaspora ambao wali tafuta mbinu wenyewe miaka hiyo hawakusaidiwa na serikali! Lakini hawakulalamika. Sasa vijana wanadeka kama watoto.
Tuwasaidie na kuangalia upya mfumo wa elimu.