Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mchungaji ametuasa tunapowaombea viongozi wetu basi tuwe na hakika na matendo yao na si kufata Mkumbo tu Ndio nauliza kama kuna Rasilimali yoyote ya nchi Shujaa aliuza? Yesu akauliza " Itamfaa...
1 Reactions
6 Replies
521 Views
Naona kama vile kuna watu hapa nchini waonao mtu kupewa ule udaktari wa heshima ni sawa na ule wa kuusomea. Ukweli ni kwamba, si sawa hata kidogo. Juzi hapa Rais wenu kapewa tena udaktari wa...
43 Reactions
171 Replies
8K Views
Naomba niende direct kwenye point;- Huwa nachukizwa na kupata uchungu sana kuona raia wanaharibu miundombinu ya umma kwa maksudi bila sababu yeyote ya msingi. Yaani si kwa bahati mbaya wala...
4 Reactions
12 Replies
927 Views
Duniani kuna taifa moja tu ambalo pasi na kushikiwa bunduki au mabomu wananchi wake pamoja na viongozi wake wameweka Sheria ya kukubali raia wa taifa jirani kuwa na haki ya kuwatawala. So far...
10 Reactions
23 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Haihitaji akili kubwa sana wala shahada ya chuo kikuu wala kusubiri kuambiwa wala kupewa ufunuo katika kutambua kuwa Dr Slaa Ni mtu ambaye kifua na moyo wake unaonyesha...
8 Reactions
191 Replies
9K Views
Hali ya Mbunge wa Mtama Nape Nnauye kisiasa Jimboni Mtama imezidi kuwa mbaya baada ya Chadema kupitia kwa kijana msomi Stephen Kamillius Membe kufanya operesheni kila Kijiji na Sasa kila nyumba...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba kujua juu ya hawa jamaa wawili nimesikia mara ya mwisho kangi alikuwa mkuu wa kituo cha magomeni dar es salaam akiwa na rank ya nyota 3
0 Reactions
43 Replies
11K Views
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika Mahafali ya Kumi na Tisa (19) ya Chuo Kikuu cha Taifa...
0 Reactions
0 Replies
324 Views
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewahimiza Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kuendelea kufanya...
0 Reactions
0 Replies
309 Views
Nchi ya Ethiopia imetangazwa kufilisika baada ya Kushindwa kuwalipa Madeni wadai wake deni linalofikia $1bln hivyo kujiunga na Ghana na Zambia kama Mataifa yaliyotangazwa kufilisika...
15 Reactions
76 Replies
9K Views
Wote tunajua Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe ni Makamu Mwenyekiti mwenza wa Muungano wa Vyama Vya Demokrasia Duniani Hali kadhalika Spika wa Bunge la JMT mh Dr Tulia PhD ni Boss wa Muungano wa...
0 Reactions
4 Replies
519 Views
Wajuzi wa mambo naomba kuelemishwa tofauti ya utendaji kazi uliopo kati ya Waziri anayetokana na Wabunge wa Kuchaguliwa na Wananchi na Waziri anayetokana na kupewa Ubunge na Rais. Kama utendaji...
1 Reactions
7 Replies
690 Views
Sera kuu...kula kwa urefu wa kamba....wanyonge tutasubiri sana😢 Ukiendelea kung'ang'ania kuwa chumvi ni chumvi tu na siyo sukari, subiri tu kutupwa ubalozini.👨🏿‍🦯 Hii sera ya kila mtu ale kwa...
4 Reactions
8 Replies
747 Views
Habari wana Bodi, Ninachokishuhudia katika mwenendo wa watendaji pamoja na hali ya sasa ya mfuko wa Bima yà Afya, inakatishà tamaa yà kwanini mfuko huu unawafanyia hivi wateja wake? Kabla...
5 Reactions
37 Replies
3K Views
Huu ni ukweli usio pingika Hayati baba wa Taifa la Tanzania Mwl Nyerere alikuwa na ndoto japo ndoto hiyo aliiweka katika vipindi tofauti tofauti. Aliwaza kutawala Maisha ila akasoma alama za...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Chuo kikuu cha kilimo nchini China kinatarajia kumtunuku Shahada ya juu ya U-profesa Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete. Bila shaka ni kwa kutambua mchango wake wake mkubwa kwa mapinduzi makubwa ya...
6 Reactions
304 Replies
37K Views
Yupo live Ikulu Rais anasema ofisi ya DCI ilikuwa ya wanyang'anyi wakikusanya pesa wanaiba ukifatilia wanakwambia ziko China kwenye account haieleweki. Kumbe tulipigwa USSR -- Rais Samia...
63 Reactions
733 Replies
46K Views
EMMANUEL GEKUL ambaye ni mdogo wake mbunge wa Babati Mjini (CCM), Pauline Gekul akimtishia kumuua kwa kumkata kichwa na kumpiga risasi PAULINA SLAA NARSIS mkazi wa Babati Mjini akimtuhumu...
55 Reactions
359 Replies
40K Views
Hii Pwani ya Dar es salaam yote ilikuwa ni Zanzibar Mambo Makubwa yote ikiwemo Dini Ili kuingia Tanganyika ridhaa ilipatikana Zanzibar Tanganyika lilikuwa ni shamba la kupata Watumwa na baadae...
3 Reactions
15 Replies
924 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…