BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 2,704
- 6,503
TAWA wanacheza na akili za Wapumbavu wa nchi hii ambao ni asilimia zaidi ya 90, nchi ina watu ambao ku-reason hakupo kabisa.
Kwa kifupi nimetonywa na mdau mmoja Arusha kwamba Mzungu ana karatasi zote za kumuruhusu kuwinda huyo Mamba mkubwa na hakuna kitu anaweza fanywa.
TAWA wanajua kabisa mzungu ana vibali vyote alivyo pewa na hao hao TAWA wenyewe, na wanacho kifanya ni kuhadaa wapumbavu wa nchi hiii kwamba wanafuatilia jambo na hatua zitachukuliwa, waende wa mkamate mzungu si ndie mshikwa na ngozi?
Hakuna hata mmoja kuanzia Waandishi wa habari wanaohoji kama Mzungu kakamatwa kwa kufanya ujangili Tanzania.
Cha kwanza TAWA walipaswa kumkamata yule mzungu kama ingekuwa ni kweli kafanya makosa. Ila TAWA wanajua mzungu alipo na hakuna wanacho weza kumfanya na hadi sasa wala hajahojiwa lolote na hawadhubutu kumuhoji anaweza waaibisha mbaya.
Unaambiwa mzungu hadi sasa hajaulizwa kuhusu kuwinda Mamba, yuko Arusha now na TAWA wanajua alipo na hoteli alipo pia.
Wazungu sio wajinga kama tulivyo sisi, hao TAWA wanacheza na akili za sisi Wapumbabu wa Taifa hili.
Kwa kifupi hao TAWA ndio madalali wakuu wa wanyama poli nchi hii, TAWA ndio majangili wenyewe na ukitaka ufanikiwe kwenye ujangili shirikiana na hao TAWA.
Baadae sana mtaambiwa Mzungu katoroka nchi, na haijulilikani alipo na TAWA kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama wanaendelea kumsaka either TAWA wanawasaka Watanzania walio shirikiana na mzungu kufanya huo uwindaji. Ngojeeni hii habari kutoka TAWA.
==== =====
Tamko la TAWA
Pia soma = Rais Samia, mfute kazi Waziri wa Maliasili na Utalii, mzungu naye akamatwe na kushtakiwa kwa uhujumu uchumi