Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 7,238
- 12,751
Habarini za asubuhi. Kwanza mimi si muumini wa demokrasia. Demokrasia ni mfumo wa ovyo sana. Na mfumo wa ovyo zaidi ni demokrasia ya vyama vingi.
Demokrasia ya vyama vingi ni vurugu sana na ina gawa nchi. Hata Marekani yenyewe inayodaiwa kukomaa kidemokrasia imegawanyika sana kutokana na demokrasia ya mtindo huu. nchi nzima imekuwa kambi mbili zinazokinzana.
Hivi haiwezekani kuwa na demokrasia na uchaguzi wa kidemokrasia bila ya kuwa na vyama vya siasa? Yaani tuban vyama vyote vya siasa.
Anayetaka kugombea na agombee, yaani wagombea wote wawe kama wagombea binafsi. Haliwezekani hilo? Si ni bora kuliko demokrasia ya vyama vingi?