Mbunge, Abood afanya ziara hospital ya rufaa Morogoro

Oct 8, 2023
37
17
MHE. ABDULAZIZ M. ABOOD (MB) ATAFANYA ZIARA HOSPITALI YA RUFAA MOROGORO.

Mhe. Abdulaziz M. Abood Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini anataraji kufanya Ziara tarehe 29.12.2023 katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro, Akiwa Hospitalini hapo Mhe. Mbunge atafanya yafuatayo:-

1). Kutembelea wodi ya wazazi na watoto
2). Kutembelea na kukagua mtambo wa uzalishaji hewa tiba.

Aidha Mhe Mbunge atakabidhi Gari Jipya la kisasa kwa ajili ya Matumizi ya hospitali hiyo ili kurahisha huduma kwa wananchi.

RATIBA YA ZIARA HIYO Saa 3:30 asubuhi Mhe Mbunge Kuwasili Hospitalini hapo, Saa 3:50 - 4:30 asubuhi Mhe. Mbunge kutembelea sehemu za kutolea Huduma, ICU, NEONATAL WARD, ORTHOPODIC THEATER Saa 5 asubuhi Zoezi la Kukata utepe na Kukabidhi Gari.
IMG-20231228-WA1577.jpg

Na ishu ya uhaba wa maji ya bomba kata ya Kihonda ajitahidi kufight kabla ya 2025
 
Back
Top Bottom