Mariamu Ditopile anatumwa na nani?

Tao

Member
Nov 10, 2018
97
162
Sote tunajua kuwa Mhe.Mariamu Ditopile ni Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Dodoma.

Kilichonisukuma kuandika uzi huu ni nguvu kubwa anayotumia kusaka ubunge Jimbo la Kondoa Mjini,kwa kweli anacheza rafu mbaya sana

Kuna maswali mengi ya kujiuliza kwani anatumia pesa nyingi Sana kutoa misaada kwenye makundi mbalimbali Huku akitumia sehemu ya pesa hizo kuwakamata vilivyo viongozi wa CCM wa Kata nane za Kondoa mjini na wale wa wilayani.

kila anapotoa misaada hiyo ni lazime amtaje Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania as if ndiye anayemtuma.

Hili Jambo limefanya watu makini wajiulize maswali mengi bila majibu kwani vyombo vinavyopambana na rushwa na utawala Bora kama vile Takukuru havijawahi hata siku moja kumkamata au hata kumwita kwa mahojiano.

kwa kifupi ndani ya CCM kwa nchi nzima huyu ndiye kinara wa wasaka ubunge hasa ukitathmini nguvu ya pesa anayotumia.

Hii imemfanya Mbunge dhaifu wa Jimbo Hilo Ndugu Ally Makoa aonekane bwege.
Tutaendelea kutoa taarifa za Mhe huyu kila mara kwani mambo anayofanya ni ya ajabu yanayopaswa kukemewa na wanamaendeleo na watu waadilifu wa Taifa hili.

Hatupaswi kuendelea kuwaacha watu wachafu wa sampuli hii waendelee kunajisi taifa.huko ni kukosa uzalendo
 
Maccm mtajuana wenyewe. Sisi na siasa na maji na mafuta, hatuchangamani
 
Anajua anazotoa atazipata akiula ubunge
 
Kuna maswali mengi ya kujiuliza kwani anatumia pesa nyingi Sana KUTOA MISAADA kwenye makundi mbalimbali Huku akitumia sehemu ya pesa hizo kuwakamata vilivyo viongozi wa CCM wa Kata nane za Kondoa mjini na wale wa wilayani.
Sasa kutumia pesa nyingi KUTOA MISAADA kwenye makundi mbali mbali si ndio maendeleo yenyewe!?,hapo kati yako na yeye nani anasaidia jamii yake!?,kwanini huyo Makoa naye asijibu mapigo kwa kugawa pesa zaidi!?.., badala yake unaanza kulalamika hovyo. Nenda kamshauri naye acheze rafu. Siasa sio lelemama, bora huyo, majimbo mengine wanatoana roho kabisa kisa ubunge.
 
Sote tunajua kuwa Mhe.Mariamu Ditopile ni Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Dodoma.

Kilichonisukuma kuandika uzi huu ni nguvu kubwa anayotumia kusaka ubunge Jimbo la Kondoa Mjini,kwa kweli anacheza rafu mbaya sana

Kuna maswali mengi ya kujiuliza kwani anatumia pesa nyingi Sana kutoa misaada kwenye makundi mbalimbali Huku akitumia sehemu ya pesa hizo kuwakamata vilivyo viongozi wa CCM wa Kata nane za Kondoa mjini na wale wa wilayani.

kila anapotoa misaada hiyo ni lazime amtaje Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania as if ndiye anayemtuma.

Hili Jambo limefanya watu makini wajiulize maswali mengi bila majibu kwani vyombo vinavyopambana na rushwa na utawala Bora kama vile Takukuru havijawahi hata siku moja kumkamata au hata kumwita kwa mahojiano.

kwa kifupi ndani ya CCM kwa nchi nzima huyu ndiye kinara wa wasaka ubunge hasa ukitathmini nguvu ya pesa anayotumia.

Hii imemfanya Mbunge dhaifu wa Jimbo Hilo Ndugu Ally Makoa aonekane bwege.
Tutaendelea kutoa taarifa za Mhe huyu kila mara kwani mambo anayofanya ni ya ajabu yanayopaswa kukemewa na wanamaendeleo na watu waadilifu wa Taifa hili.

Hatupaswi kuendelea kuwaacha watu wachafu wa sampuli hii waendelee kunajisi taifa.huko ni kukosa uzalendo
Waache wafu wawazike wafu wao
 
Kwa mtanzania wa kawaida wanapoparurana wana chukua chako mapema mtanzania mwenye akili njema hutarajia wajifunze walipokosea,ila hamna,na inaweza kuwa ndio ile maana ya fungu la kukosa ama sikio la kufa dawa haifui dafu😂
 
Unajaribu kuomba huruma mitandaoni?

Unajaribu kuonyesha woga wako uchaguzi ujao 2025?

Unajaribu kuficha uwezo wako mdogo wa kutatua kero za wananchi wa Jimbo lako kwa kumchafua ambaye anajiimarisha kugombea uchaguzi ujao?

Hoja dhaifu sana umeianzisha kabla ya uchaguzi. Ushauri kwako Katibu wa mbunge wa huko kwenu; ikiwa mnao ushahidi wa hayo matumizi binafsi ya mtu kua anahonga/takirima, fikeni TAKUKURU mshitaki na kwa Mwenyekiti wa chama chenu wilaya na mkoa.
Pia wakati mmeshitaki nanyi anzisheni mbinu za kujiwinda na uchaguzi ujao kwa kuwasaidia wahitaji hapo jimboni kwenu.
 
Back
Top Bottom