Walimu wapigwe marufuku kusimamia uchaguzi wowote kuanzia Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu

Tulimumu

JF-Expert Member
Mar 11, 2013
14,305
12,969
Kitendo cha wakuu wa shule Tanzania bara kumchangia Samia pesa za kuchukulia fomu na wakuu wa Zanzibar nao kumachangia Hussein fomu ni ishara tosha kuwa hawafai kusimamia Uchaguzi Mkuu na wowote ule kwakuwa hawatakuwa fair.

NEC ikumbuke hilo maana litaleta malalamiko sana na rufaa nyingi toka vyama vya upinzani kwa watu waliokwishatangaza maslahi yao kuweza kutoonesha upendeleo
 
Kwani waliochanga ni walimu wa kawaida au wakuu wa shule?
Kumbuka hata huko mashuleni kuna vita kali kati ya walimu na walimu wakuu/wakuu wa shule. Wengi wao wanajionaga miungu watu!
Wanatumia vibaya vyeo vyao na hawako tayei kushauriwa.

Kwahiyo waache walimu wajipatie fursa waongeze kipato.
 
Kitendo cha wakuu wa shule Tanzania bara kumchangia Samia pesa za kuchukulia fomu na wakuu wa Zanzibar nao kumachangia Hussein fomu ni ishara tosha kuwa hawafai kusimamia Uchaguzi Mkuu na wowote ule kwakuwa hawatakuwa fair.

NEC ikumbuke hilo maana litaleta malalamiko sana na rufaa nyingi toka vyama vya upinzani kwa watu waliokwishatangaza maslahi yao kuweza kutoonesha upendeleo
WALIMU HAWAJITAMBUI NI MBUMBUMBU HAO NEC NI TAWI LA CCM au unaongelea NEC ipi?
 
Kitendo cha wakuu wa shule Tanzania bara kumchangia Samia pesa za kuchukulia fomu na wakuu wa Zanzibar nao kumachangia Hussein fomu ni ishara tosha kuwa hawafai kusimamia Uchaguzi Mkuu na wowote ule kwakuwa hawatakuwa fair.

NEC ikumbuke hilo maana litaleta malalamiko sana na rufaa nyingi toka vyama vya upinzani kwa watu waliokwishatangaza maslahi yao kuweza kutoonesha upendeleo
Halafu asimamie nani? Babaako na mahawara zake?
 
Kitendo cha wakuu wa shule Tanzania bara kumchangia Samia pesa za kuchukulia fomu na wakuu wa Zanzibar nao kumachangia Hussein fomu ni ishara tosha kuwa hawafai kusimamia Uchaguzi Mkuu na wowote ule kwakuwa hawatakuwa fair.

NEC ikumbuke hilo maana litaleta malalamiko sana na rufaa nyingi toka vyama vya upinzani kwa watu waliokwishatangaza maslahi yao kuweza kutoonesha upendeleo
Ila ni fare kwa Mkurugenzi alieteuliwa na Raisi ambaye ndo mgombea kusimamia uchaguz!. Shida sio Walimu shida ni Katiba
#mtoto wa mama kizimkazi na hapa ipo#
 
Back
Top Bottom