Mimeamini siasa ni ajira kama ajira nyingine tu haina tofauti na Mama Ntilie

GANJIBHAAI

Senior Member
Mar 22, 2018
130
409
Huwa nacheka sana kuona wanasiasa wanavyohangaika kutetea ujira wao.

Inafika wakati wanataka hata kutuharibia amani na utulivu wa nchi hii, kila kitu wanajua wao, hata humu jamvini kuna watu hadi wa buku saba, wanahangaika hadi usiku wa manane kupost post tu vijipost ambavyo havijengi zaidi ya lawama na malalamiko tu na hisia zinazoonyesha njaa kali, haya mwende kula sasa kila mtu kwao.

Inafika wakati unajiuliza nchi hii ina raia wa namna gani.
 
MACHAWA HAWALALI UMBEA MTUPU

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom