Wizara ya Ardhi imeoza kwa rushwa. Sina uhakika kama Waziri Jerry Slaa ataziweza mbinu za ufisadi ndani ya Wizara ya Ardhi na Idara za Ardhi katika Halmashauri.
Sakata la plots 194 na 195...
Haya mambo sasa tuseme yanafanyika kiushabiki na pia kiukabila. Nimeona mitandaoni eti UDOM wanaanzisha kampasi mpya mkoa wa Njombe. Hii ni uharibifu wa pesa ya umma unaoongozwa na ukabila.
Ni...
Watu wanafiki ndumilakuwili nyoka hatari ni wabaya Sana wachonganishi hawana constructive ideas mawazo yao ni mfu utakuta vinajipendekeza ety awamu ya 5 ilivuruga hivi hawa watu wa awamu ya tano...
Kwa mujibu wa Takwimu kutoka NBS, Tanzania katika kipindi cha mwaka 2022 ilifanya vizuri zaidi katika sekta mbalimbali zenye mchango wa moja kwa moja katika maisha ya wananchi na pia katika pato...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Alhajj Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema kazi za Misikiti ukiacha kufanya ibada ya sala pia wana jukumu la kutatua changamoto zinazoikabili...
Meli imeingia bandarini tarehe 2/13/2023 na mpaka leo bado mizigo haishushwa. Ni karibu wiki sasa mambo hayaeleweki!
Je, nani katuloga watanzania? Je waarabu nao wameshindwa kazi kama serikali...
Sio vibaraka wanaomuabudu Mbowe kama Mwaipaya na dogo wa Mwanza ndio wabaki kufurahia upuuzi.
Chama kinatakiwe kiwe mikononi mwa wazalendo kikwelikweli.
Chama kinatakiwa kije kukamata dola...
Kazi ya Kufanywa na Mganga Mkuu wa Wilaya inakuwaje apewe Naibu Waziri Mkuu ?
Sababu hasa ya kufanya hivi ni nini , Posho au ndio kutafutiana koneksheni ? Zahanati zote mtafanya hivi au ni hiyo...
Ni ajabu sana kwamba kwa miaka 5 hatuwahi kuwa na tatizo la umeme kukatika mara kwa mara kama ilivyo sasa. Wote tunajua umeme ulikuwa ukikatika lakini sio kwa kasi hii iliyopo sasa hasa baada ya...
Na Mwl Udadis, Dsm CBD
Moja ya sifa kuu ya kiongozi bora wa nchi ni kutatua matatizo kwa kuleta suluhu ya kudumu, wazungu wanaita "sustainable solutions", kwa bahati mbaya akili ndogo huhitaji...
Mimi naushauri TANROADS waruhusu malori yawe yanapita barabara ya katikati kabisa ambayo inaonekana imetengwa kwaajili ya mabasi ya mwendokasi.
Barabara ile ambayo ndiyo ilikuwa barabara kuu...
Dini ya haki dini ya haki!
Kule Nigeria kula kukichwa wanaua makumi hadi mamia ya Wakristo. Halafu kuna mtu anazungumzia Qhamas.
Kwenye hii dini kuna roho mbaya sana...
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amewataka wakulima wa miwa kuendelea kulima miwa kwa wingi kwani soko la miwa limekuwa kubwa kutokana na ongezeko la viwanda vya sukari...
Tanzania ina matatizo mengi, na Samia anastahili lawama kwa baadhi ya matatizo yanayoikabiki Tanzania kwa sasa kama hili la mgao wa umeme n.k
Lakini kama wewe unaamini kama mimi kuwa maendeleo ya...
Ndugu zangu watanzania,
Baada ya Rais Samia Mama wa shoka,chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia,nuru ya wanyonge,simba wa nyika, komandoo wa vita kusaga saga kila mfupa...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuimarisha mfumo wa kodi ulio rahisi kuutumia kwa kuwekeza zaidi katika mifumo ya...
MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA
Mkutano huu kushirikisha Wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa.
Lengo ni kujadili Miswaada ya Sheria za Uchaguzi na Sheria za Vyama vya...
Ni swali tu la Kufungia mwaka
Mfano Shilole ni Chawa lakini ana kampuni zake na ameajiri Watu, Ajira ni kipaumbele cha Ilani ya CCM
Mfano baba levo ni Chawa lakini anategemea Ajira kutoka kwa...
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, kwenye kipindi cha Dakika 45 cha ITV, cha kila Jumatatu, kaonyesha misimamo yake.
Kuwa, anapenda aone wananchi wana uelewa wa kutosha kuhusu maono ya Mama yetu Raisi.
Na...