Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sisi viongozi wa Jumuiya ya vijana kutoka vyama pinzani vitatu nchini Ngome ya Vijana ACT Wazalendo, Jumuiya ya vijana CUF (JUVICUF) na Jumuiya ya vijana -NCCR Mageuzi ambapo awali tulikuwa pamoja...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwenda kwenye ujenzi wa kanisa moja na kutoa milioni 150 wakati wananchi wanaishi maisha magumu, milioni 100 ingepelekwa maeneo hayo ya Moshi bei ya chakula ikashuka, ingesaidia maelefu, hii ndio...
19 Reactions
64 Replies
7K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema kuna baadhi ya watu wanapenda sana kuwa laumu viongizi wa upinzani oo mara waseme wapo kimya sasa hivi mara waseme wamelambishwa asali mara waseme wametusaliti...
0 Reactions
2 Replies
308 Views
Ndugu zangu Watanzania, Habari ikufikie popote pale ulipo kuwa mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) imetangaza kupitia menejimenti yake kuwa imefanikiwa kuweka rekodi ya kipekee kabisa tangia...
9 Reactions
92 Replies
8K Views
Huyu muandishi kapewa nyama ya mbuzi za kula siku mbili tatu anaanza kuongea maneno ya kusifia huyo mbunge wake Tabasamu. Je, tasnia ndio inakufa kwa kupata waandishi ambao hawatajua kazi zao za...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Awali ya yote napenda kuchukua fursa hii ya kipekee kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema wa baraka ya uhai aliyotujalia hatimae kuwenza kuuona mwaka mwingine 2024. Tukiwa tunaelekea kwenye...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Sukari sasa kilo moja ni Tsh 4500! Hii nchi imekuwa kama utawala wa kambale mama ana ndevu baba ana ndevu hakuna hata mbunge, waziri au mkurugenzi anaongelea hii hali. CCM ipo kimya, Makonda...
5 Reactions
39 Replies
2K Views
Nimeona Senegal wanazindua mradi wa Barabara za BRT ambazo zinatumia Umeme. Yaani kama hiyo BRT ya Dar ila iwe ni mfumo wa kuchaji/Umeme badala ya diesel. Kwangu binafsi naona hii ni miradi ya...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
UFUNGUZI WA MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA Mkutano huu kushirikisha Wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa. Lengo ni kujadili Miswaada ya Sheria za Uchaguzi na Sheria za...
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Watanzania sijui akili zetu zikoje. Kwanini hatujui thamani halisi ya rasilimali zetu? Dpw wameahidi kuwekeza usd 250 mil na kuchukua bandari yetu. Na fedha hizo sio kama wanawekeza kwa mkupuo...
15 Reactions
93 Replies
8K Views
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuwa changamoto kubwa inayowakumba Watanzania katika kupata huduma za afya ni gharama kuwa juu, hivyo amesisitiza wadau kuwahamasisha kuwa na bima ya afya...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Tunaishi na jirani tusiye mjua. Katika hilo jambo kuna mambo ya hatari ambayo yako wazi sana lakini Serikali na idara za usalama zimejifanya kipofu. Tujiulize, kwanini DPW walitangulia kuweka...
13 Reactions
34 Replies
5K Views
Wana JF, Huku joto la urais likipanda leo mzee wa mtama aka Membe akiwa mgeni rasmi kwenye mahafali ya chuo cha bagamoyo yaliyofanyika hotel ya Kiromo - Bagamoyo ameahidi kuanzisha BENARD MEMBE...
2 Reactions
69 Replies
13K Views
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini (Mb) amewataka Viongozi wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama pamoja na wakandarasi wanaosimamia miradi ya ujenzi Mkoani Geita kukamilisha...
0 Reactions
1 Replies
555 Views
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini (Mb), ametembelea Gereza Geita lililopo Mkoani Geita na kuzungumza na Wafungwa pamoja na Mahabusu wakati alipofanya ziara yake ya Kikazi...
0 Reactions
1 Replies
588 Views
Ndugu wananchi wenzangu wa Jimbo la Kiteto nachukua fursa hii kuwatakia Kheri ya Mwaka Mpya 2024. Namwomba Mwenyezi Mungu awape Baraka, Afya Njema na Neema katika mwaka huu 2024. Ndugu wananchi...
1 Reactions
0 Replies
505 Views
Habari za Mwaka Mpya Wakuu! Kuna Watu ni wepesi sana kutoa vibanzi katika macho ya wenzao ilhali wao wako na boriti. Serikali imeshindwa! Rais gani huyo! Viongozi wa nchi hii ni wajinga sana...
0 Reactions
7 Replies
557 Views
Taarifa kutoka Nchini kenya na wilayani Tarime zinasema kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara Bwana John Tupa, Kamanda wa kanda maalumu ya kipolisi Tarime na Rorya J. Kamugisha na OCD wa Tarime wanafadhili...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Waziiri wa Afya mh Ummy Mwalimu amesema Toto Afya Kadi haijafutwa ila Utaratibu ndio umebadilika sasa Watoto Watasaniliwa Shuleni kwa gharama ile ile ya tsh 50,400. --- Waziri wa Afya, Ummy...
3 Reactions
44 Replies
5K Views
Watanzania MASIKINI nawasalimu na niwatakie HERI ya MWAKA MPYA 2024 MUNGU akipenda Tuingia na UMASIKINI wetu kwa mwaka 2024 Kama Tulivyozoea. Mada yangu ni juu ya hawa WAHESHIMIWA sana Wenye NCHI...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…