Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwasasa huko visiwani kuna shamrashamra yakuadhimisha miaka 60 ya Mapinduzi. Wazanzibar wenyewe huyaita “mapinduzi matukufu” je huwa wanamaanidha nini? Ni upi huo utukufu katika hayo Mapinduzi...
11 Reactions
49 Replies
3K Views
Rushwa ni tatizo kubwa sana na imefika wakati wa kuwa na daftari maalumu la wala rushwa wote na watoa rushwa wote ambao wamepelekwa mahakamani na kuthibitishwa. Hiyo list iwe ma majina na namba...
0 Reactions
3 Replies
630 Views
Ulevi wa madaraka ni mbaya sana kuliko hata wa kubugia ugoro. Eti anawasemea Wamaasai kuwa hawataki katiba mpya? Kwi kwi kwi kwi kwi kwi kweli shibe ni ulevi pia. Nimeamini kuwa mtu anayefaidika...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Mafia ni moja kati ya wilaya 6 za mkoa wa Pwani katika Tanzania yenye postikodi namba 61700. Eneo lake ni hasa Kisiwa cha Mafia na visiwa vidogo karibu nacho. Mji mkuu na makao makuu ya wilaya ni...
3 Reactions
195 Replies
33K Views
Naingalia Zanzibar kwa jicho la kipekee sana. Wanafanya miradi kama ya Tanzania bara ina miradi yao inafanywa kwa ubora wa kipekee sana. Naona majengo mengi yanayojengwa kwao wanatumia kampuni...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Kundi la Katibu mkuu aliyejiuzulu kwa Kashfa Daniel CHONGOLO na makundi ya wasaka URAIS 2025 na 2030 yanafanya minyukano ya kuhakisha Samia hapati. Katibu Mkuu mzuri kila kundi linapambana...
1 Reactions
2 Replies
651 Views
Mapendekezo ya jumla na msimamo wa CHADEMA juu ya miswada ya sheria iliyowasilishwa bungeni 10, Novemba 2023 inayohusu masuala ya uchaguzi na ofisi ya msajili wa vyama vya siasa NB; maoni haya...
8 Reactions
133 Replies
9K Views
Ni ajabu kuona baadhi yetu huko wanapendekeza watu waliofungwa wapige kura wakati wa uchaguzi. Wanaopendekeza hili wanasahau kwamba haki ya kupiga kura huwezi kuitenganisha na haki ya kupigiwa...
7 Reactions
18 Replies
1K Views
Kuna kitu kinanishangaza sijaelewa bado. Waziri Bashe alikataza magari ya kigeni kuingia hadi vijijini kukusanya mazao lakini hadi sasa tunashuhudia utitiri wa magari ya kigeni huku Karatu...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Wadau naomba kuuliza hivi huyu Joeseph Mhagama ni nani...!!? Binafsi ndiyo nimemsikia kwa mara ya kwanza. Imekuwaje akapewa kazi kubwa kama hii...!!? Binafsi sikuwahi kumsikia mpaka sasa kwenye...
1 Reactions
8 Replies
986 Views
Ndugu zangu Watanzania, CHADEMA ni watu wenye uroho na uchu mkubwa sana wa madaraka.ndio maana kwa kila jambo linalojitokeza mbele yao wao huangalia ni vipi watapata na kufaidika zaidi na kupata...
2 Reactions
94 Replies
4K Views
Leo kule uwamja wa amani ulipigwa kwanza mwimbo wa taifa wa Zanzibar ukafuatia ule wa Africa Mashariki. Katiba ya Zanzibar iko wazi, kwa nini huku Tanganyika tunajin'gata vidole?
3 Reactions
3 Replies
642 Views
Na hapa ifahamike kuwa, Kuwa Chama chochote cha upinzani, ni njia nzuri ya kukataa ujinga na kuwa sehemu ya furusa ya maccm Ujinga ni pamoja na kukubaliana mambo yenye kinyume na ukweli Hii...
3 Reactions
6 Replies
617 Views
Rais wa Zanzibar Dr.Husein Mwinyi amesema Zanzibar inaenda kuzindua sera Bora kabisa ya uwekezaji hapa Africa ambapo pamoja na mambo mengine itatoa mashamba wa Kodi Kwa wawekezaji wa sekta za...
1 Reactions
3 Replies
683 Views
Mapinduzi ya mwaka 1964 yaliiondoa serikali halali na kuisimika serikali ya Mapinduzi. Watu waliuliwa wengi wakati na baada ya mapinduzi. Baada ya mapinduzi tulitegemea kuona demokrasia ikitawala...
5 Reactions
11 Replies
996 Views
Tangu mwaka 1961 Tanzania imekua kinara wa kupambania haki za wanyonge international Justice, ilikua kiongozi wa frontline state kipindi cha kupambania Uhuru katika nchi za Africa na Asia, hicho...
2 Reactions
29 Replies
1K Views
Utakuta tu Sikukuu ya Uhuru tunasherehekea kwa kufanya Usafi Mitaani Wenzetu Kenya sikukuu ya Uhuru wao wanaipa umuhimu mkubwa sana Labda itungwe sheria ya Sherehe za Uhuru Au nasema Uwongo...
3 Reactions
15 Replies
804 Views
Binafsi nakubaliana 100% kwamba bunge ni muhimu kwenye kuisimamia serikali kwa mujibu wa katiba ila siridhishwi na jinsi lilivyo kwa sasa. Mimi maoni yangu kuhusu bunge ni kama ifuatavyo; 1. Viti...
5 Reactions
13 Replies
841 Views
Mpaka leo Dunia nzima haijapata ukweli kama alipigwa risasi au kutumbukizwa baharini. Hanga alikubalika sana kwa uwezo wake wa kudadavua mambo na kuwa na ushawishi mkubwa ndio maana Mzee Karume...
8 Reactions
21 Replies
24K Views
Habarini wadau Nimekuwa nikifuatilia sana Historia ya Zanzibar siku za karibuni Kuna sehemu nilisoma kuwa anae enziwa kuwa ni baba wa mapinduzi Sheikh Aman Karume hakuwa anahusika kwa kiasi...
5 Reactions
116 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…