Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Na. M. M. Mwanakijiji Kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii na hasa kwenye Telegram vijana waliokuwa wanajiapisha kuwa hawatomuangusha mwanadada Mange Kimambi siku ya tarehe 26 Aprili walishindwa...
46 Reactions
912 Replies
83K Views
Membe ametoa kauli hiyo leo wakati akifanya mahojiano na mtangazaji wa DW katika kipindi cha kinaga ubaga. Membe amesema kama Magufuli angekuwa bado yuko hai asingerudi CCM tena, huku neno...
11 Reactions
95 Replies
7K Views
Kila siku huwa naipitia Rasimu hii nikijiuliza hasa ni kitu gani kinafanya inakosa Uthamani mbele ya Watawala na wapinzani au Ni neno Tanganyika lililosheheni kwenye katiba hiyo? Au Ni serikali...
0 Reactions
0 Replies
492 Views
Na Dr. Sisimizi Imekua kawaida sasa kwa Chadema kupiga mikwara ya Sisimizi kwa Tembo ya kutishia kufanya maandamano ilihali miaka yote hawajawahi kufanikiwa sababu ya kukosa ushawishi na uungwaji...
4 Reactions
38 Replies
2K Views
Sisi ambao sio washabiki wa vyama bali washabiki wa nchi “ Independent “ tunapata wakati mgumu maana kuna wakati tunamtetea Raisi na wakati tunampinga kwa hoja. Lakini wengi wetu na mimi binafsi...
0 Reactions
9 Replies
644 Views
Tar 24 mwezi huu ataandamana kupinga dhuluma za CCM Ila alipotolewa jela kwa makosa ya kufadhili ugaidi alisahau habari za kuandamana. Aliitwa ikulu akala chakula na juizi za ceres Leo hii...
0 Reactions
3 Replies
411 Views
1. Nani asiyejua hatari ya kuonja sumu kwa ulimi? 2. Upo wito halali wa kutelemka mabarabarani 23/24. 3. Pamoja na kuwaita ndugu wa damu tena wale nguli washindao mitandaoni 24/7 kwa majina yao...
0 Reactions
1 Replies
629 Views
Mbowe amesema hamuamini Rais Samia wala chama chake sababu miswada yake haikisi R4 anazozihubiri na wenzake, akisemw kiongozi anapaswa kutembea kwenye maneno yake, ambavyo haikua hivyo. Akiongeza...
7 Reactions
24 Replies
3K Views
Samia alipoingia madarakani, kama kawaida , wapambe walishabikia ubora wake kwa hotuba mbili au tatu alizotoa. BIla kufahamu kwamba hata bwege akipewa kusoma haotuba, itapendeza tu! Mwenztu mmopja...
10 Reactions
40 Replies
3K Views
Tanzania hatuna mpaka na nchi za Sudan/ sudan kusini, sasa sielewi wetumia kigezo gani kwa hawa madaktari wanafunzi kuja kuendelea na masomo DSM kuliko Nairobi na Kampala!
21 Reactions
361 Replies
32K Views
Kwa tuliomuelewa Shehe Kundecha ni Kwamba unapoagiza jambo lisilotekelezeka usije kudhani umedharauliwa hapo baadae Mbowe anatangaza Maandamano nchini Tanzania Ni ama Ujinga au anawapumbaza tu...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Bado Chadema imeshindwa kuondoka mikononi mwa mikono ya Mbowe hii ni baada ya kupanga nyumba maeneo ya Mikocheni, nyumba inayomilikiwa na Mwenyekiti wa chama hicho Aikael Mbowe mwanzo chama hicho...
6 Reactions
50 Replies
22K Views
Tofauti na mawaziri wengine waziri wa fedha Mwigulu nchemba amekuwa nadra sana kusikika na kuonekana kwenye media akizungumzia mambo muhimu ya wizara yake na nchi kwa ujumla. Pia tofauti na...
1 Reactions
0 Replies
483 Views
Sijawahi sikia takukuru wakifanya kazi pamoja na kwamba Tanzania rushwa zimetapakaa kila kona. Na huwa tunajiuliza ni lini hawa takukuru wataanza kufanya kazi zao kama taasisi nyingine...
5 Reactions
25 Replies
1K Views
Mbowe amezungumza......
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Utaratibu wa kuleta vurugu na maandamano ili kuvunja amani na kuleta mifarakano isiyo ya lazima haikubaliki na ni lazima raisi asimame kidete kwa watu wanaotaka kuleta fujo na vurugu. Hali ngumu...
11 Reactions
48 Replies
3K Views
Katika uchaguzi uliopita Sheikh Ponda allibukia kuiunga mkono CHADEMA na akatoa kuwa 'WAISLAM TUMEKUBALIANA KURA ZOTE ZA URAIS TUTAMPIGIA TUNDU LISSU'. Kauli hii iliungwa mkono kwa kiasi kikubwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Napenda kuwataarifu ya kuwa Mh Paul Makonda Katibu wa itikadi,uenezi na mafunzo wa CCM Taifa, mwamba wa siasa za ardhini na mujukwaani, kiongozi jasiri na shupavu,imara na...
4 Reactions
39 Replies
3K Views
Nchi mbalimbali duniani huona fahari sana kukumbuka siku za kuzaliwa mataifa yao. Neno kuzaliwa nimemaanisha siku ya kupata uhuru. Nimeangalia majuzi hapa kwa jirani zetu Kenya, walisherehekea...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Alisema malipo ya watu wa ukonga kipunguni. Wanaodai fidia ya malipo ya makazi yao. Kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege watalipwa ndani ya mwezi mmoja lakini mpaka Sasa hakina chochote kilicho...
1 Reactions
5 Replies
714 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…