Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimekaa nikavuta kumbukumbu na kuona kuwa pamoja na kuishi Sana Tanzania sijapata kusikia mwanamke akiteuliwa kuongoza mkoa wowote Kati ya hii. 1. Mbeya 2. Mwanza 3... 4..... Hivi ni Kwa nini...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndugu zangu nawasabahi. Nimekuwa nafuatilia sana Siasa za Nchi hii na Vyama vyake. Juzi tumevisikia VYAMA 15 na ACT WAZALENDO kikiwemo Kupinga MAANDAMANO ya AMANI yanayotarajiwa kufanywa na...
2 Reactions
3 Replies
558 Views
Mzanzibar akionekana kumlaumu Rais Samia kutokuwajali watu wa Zanzibar kwa kutokuwaruhusu kujitawala. Katika maongezi yake Mzee huyo amerejelea katika na kumueleza kuwa Rais Samia hazingatii...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwanza kabla ya yote naomba kusema kwamba nchi ya Tanzania ndio yenye bei ya chini zaidi ya bando za internet katika ukanda wa Afrika Mashariki. Pili ukichukua wastani wa mshahara wa kila mwezi...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Kikao hicho kimetokea Leo ikiwa bado siku Kadhaa Ili yafanyike Maandamano Ya Chama Chake una maoni gani??
16 Reactions
127 Replies
6K Views
Nakumbuka 1980s Sisi wadau wa YMCA tulikuwa tukiwaona Walugaluga kutoka mikoani mfano akina Lucas tulikuwa tunawashauri Waende kwanza Mbowe Hotel kwa akina KaliKali na Saydo wakatolewe Ushamba...
5 Reactions
8 Replies
967 Views
Nigeria ni nchi ya pili kwa uzalishaji mafuta barani nyuma ya Angola, ilianza rasmi uchimbaji mafuta na kuyauza nje kibiashara mwaka 1956, kufikia mwaka 2000 mapato ya mafuta ghafi yalikuwa 98% ya...
14 Reactions
46 Replies
3K Views
Maswali muhimu kujiuliza na utakayoyatumia kama msingi wa majadiliano katika mada hii: 1. Kikatiba Mkuu wa nchi na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na usalama anaweza kukasimu mamlaka yake...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Salaam, Shalom. Askofu Shoo ametoa kauli iliyojaa HEKIMA na BUSARA, akitoa maoni Kwa niaba ya CCT, amesisitiza kuwa maoni ya wananchi yatolewayo kuhusu namna Gani uchaguzi huru na HAKI ufanyike...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Nimefatilia siasa zote kutoka Ccm na upinzani Ila vijana bado hawapo matured mentally. Ukiwatazama vijana Wa Uvccm wao hakuna wanachowaza zaidi ya matusi, kuua , kujeruhi na kuwafunga wakosoaji...
1 Reactions
1 Replies
413 Views
Migao tusha kuwa nayo sana awamu zilizo pita,Ila migao yote ilisababishwa na upungufu wa maji kwenye mabwawa na migao ilikuwa inaisha mara tu mvua zilivyo kuwa zinaanza kunyesha. Kwa wakati huu...
4 Reactions
6 Replies
557 Views
Ndugu zangu Watanzania, Mkurugenzi mkuu wa bodi ya Sukari nchini Tanzania Ndugu Kenneth Bengesi amesema kuwa katika kukabiliana na upungufu wa sukari hapa nchini, inatarajiwa kuanzia mwezi huu...
2 Reactions
77 Replies
4K Views
Sijajua kwa hakika vyombo vya habari vya Tanzania hasa televisheni na magazeti mengi Yana ugonjwa gani.. Tabia ya kukwepa kujadili mambo muhimu kwa uwazi na kuwapa watu nafasi ya kuongea na...
1 Reactions
2 Replies
578 Views
Hii ni aibu kuwa na viongozi wanajiita eti wa upinzani kisha wanawapinga wenzao wanao endesha harakati za maandamano ya kupinga hali ngumu ya maisha inayotokana na dira mbovu za serikali, kutaka...
17 Reactions
36 Replies
2K Views
RC Chalamila aliwahi kusema kuna mawaziri ambao kazi yao ni kwenda nje ya nchi kukopa fedha na kujiimarisha kwa ajili ya kugombea urais 2025...kama kawaida yetu watanzania tukapuuzia....leo sasa...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania TPA imetoa taarifa inayoonyesha mafanikio makubwa yaliyofikiwa na Bandari ya Dar es Salaam kwa mwaka jana. Akiongea mbele ya Waandishi wa habari...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jana kulikuwa na mazungumzo kati ya Kiiza Besige na Bob Wine pale Kampala. Walikubaliana kuungana pamoja na vyama vingine vya upinzani wa kweli ili kuunganisha nguvu. Ili kukabiliana na chama...
3 Reactions
5 Replies
496 Views
Viongozi wa Dini kwa kauli Moja wameitaka Serikali kusikiliza maoni ya Wananchi kuhusu Miswada Mkuu wa Kikosi Kazi cha Viongozi wa Dini Askofu Dr Shoo amesema wao wataendelea kutoa Elimu ya Uraia...
1 Reactions
3 Replies
763 Views
Za chini chini ni kwamba ndani ya ccm k Kwa sasa kuna makundi kama matatu. Kundi la kwanza Hili kundi lina amini mama anatakiwa kupigiwa kura upya na wana ccm kwa sababu hakupitia mchakato wa...
5 Reactions
54 Replies
4K Views
"Usibeze mtu kesho anaweza kuwa boss wako" Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Paul Makonda, leo January 16,2024 ameongea na Waandishi wa Habari katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui, Zanzibar...
8 Reactions
47 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…