Kwanini ni mara ya kwanza tunakuwa na Mgawo mkali kipindi cha mvua nyingi?

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Mar 11, 2020
2,712
6,515
Migao tusha kuwa nayo sana awamu zilizo pita,Ila migao yote ilisababishwa na upungufu wa maji kwenye mabwawa na migao ilikuwa inaisha mara tu mvua zilivyo kuwa zinaanza kunyesha.

Kwa wakati huu ni tofati kabisa, kuna Migao tena mikari kuwahi kutokea ilihali mvua zinaleta maafa kabisa,nini kipo nyuma ya hii migao ya wakati wa mvua nyingi? nani ananufaika nayo? Nani anawasaidia watu wanao pata hasara na hiu migawo?

Samia anaweza waambia Watanzania watafidiwa vipi hizi hasara wanazo zipta sasa hivi?

Mbona raia wanao pita pembeni ya mabwawa wanadai yamejaa maji? au awamu hii kuna namna tofauti ya ujaaji wa maji?

Kadri mvua zinavyo endelea kunyesha ndio kadri makari ya mgao yanavyo ongezeka, hii ni hatari sana.

Raia wanasafa saba na hasara, watu wanashindwa hata kutafuta riziki kwa ajili ya familia zao, Watawala hii haiwahusu make wana kila kitu, wana Backup Generetor tena kwa Kodi za Umma.

Raisi kashidwa kuongoza, kilicho bakia ni kutafuta popularity kwenye Mpira huko.
 
Migao tusha kuwa nayo sana awamu zilizo pita,Ila migao yote ilisababishwa na upungufu wa maji kwenye mabwawa na migao ilikuwa inaisha mara tu mvua zilivyo kuwa zinaanza kunyesha...
Kwa sababu ndio mgao wetu wa mwisho katika historia ya Taifa letu so sio mbaya ukiwa ni mkali
 
CCM wamefeli sasa ni wakati wa Watanzania kuangalia Mbadala wa CCM.
 
Kwa sababu ndio mgao wetu wa mwisho katika historia ya Taifa letu so sio mbaya ukiwa ni mkali
WhatsApp Image 2023-09-17 at 2.10.59 PM.jpeg

Ogopa matapeli.
 
Back
Top Bottom