Mkuu wa Kikosi Kazi cha Viongozi wa Dini Askofu Dr Shoo ameitaka Serikali kusikiliza maoni ya Wananchi kuhusu Miswada!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,011
142,043
Viongozi wa Dini kwa kauli Moja wameitaka Serikali kusikiliza maoni ya Wananchi kuhusu Miswada

Mkuu wa Kikosi Kazi cha Viongozi wa Dini Askofu Dr Shoo amesema wao wataendelea kutoa Elimu ya Uraia kwa Wananchi

Naye naibu Mufti ametaka uwepo wa Tume Huru ya Uchaguzi ili kudumisha amani na kuaminiana miongoni mwa Viongozi na Wananchi kwani kuna maisha kila baada ya Uchaguzi

Chanzo: Upendo TV
 
Source Upendo TV
Ameshatoa maoni kwenye Kamati atulie Sasa mchakato ufuate utaratibu. Asiteke kushinikiza naona yake na washirika wake
 
Back
Top Bottom