Kwanini Team Samia inaogopa kuenguliwa 2025?

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,111
18,327
Za chini chini ni kwamba ndani ya ccm k
Kwa sasa kuna makundi kama matatu.

Kundi la kwanza

Hili kundi lina amini mama anatakiwa kupigiwa kura upya na wana ccm kwa sababu hakupitia mchakato wa kumpata mgombea wa chama na wala hakuchukua form. Hivyo linataka form zitolewe na mchakato ufanyike kama wa 2015.

Kundi la pili

Hili ni kundi ambalo linataka mama amalize muda wake wa kushikiria kiti cha Urais na aende zake akapumzike makunduchi kwa sababu kazi aliyo pewa ni kuivusha nchi baada ya kifo cha Rais Magufuli na siyo kubaki madarakani

Kundi la tatu

Lenyewe linaona mama kiti cha Urais kinampwaya kutokana kasi ndogo ya maendeleo na kuto kuwa na vision inayo eleweka. Pia lina lalamika baadhi ya mali za wananchi kuhusishwa na waarabu .

Kundi la Chawa
Hili ndio sisi ambao ni chawa wa mama tukiongozwa na Dr Nchimbi..

Sasa kitendawili cha 2025 bado hakieleweki kabisa ..
 
Kundi la 4

Tulijifunza kutoka Kwa Mwendazake aliyechapisha fomu 1 akiogopa kuenguliwa 🔥🔥

Fomu ya Urais wa 2025 itakuwa 1 na jina la Samia tuu.
 
Back
Top Bottom