Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Jana kulikuwa na mazungumzo kati ya Kiiza Besige na Bob Wine pale Kampala.
Walikubaliana kuungana pamoja na vyama vingine vya upinzani wa kweli ili kuunganisha nguvu.
Ili kukabiliana na chama cha Rais Museveni na hatimaye waweze kushinda na kuongeza idadi ya wabunge bungeni.
Leo asubuhi walipo amka wakakuta nyumba zao zimezingirwa na vikosi vya majeshi utadhani wao ni majambazi.
Watawala wa Afrika ni waoga sana wa kuondolewa madarakani.