Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

WAZIRI MKUU AANZA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TANO MKOANI MARA Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Seronera, wilayani Serengeti mkoani Mara, kuanza ziara ya kikazi...
3 Reactions
19 Replies
393 Views
Kwa tafsiri ya haraka ni kuwa anakubalika na anapendwa na raia wengi wa nchi yake. Asingekuwa na hofu kabisa na maandamano sabababu ambao wangeandamana ni wachache sana kuliko wale mil 33...
9 Reactions
17 Replies
245 Views
Mbunge Sigrada: ‘Watu kufeli Shule ya Sheria Tanzania ni mkakati wa kisiasa wa kutokuzalisha mawakili wengi
6 Reactions
47 Replies
900 Views
Wamenitumia sms ya kutunza amani na maneno kibao,sijui biashara nini na nini,makende ya fisi ninyi,ipo hivi mimi kutunza amani kwa serikali inayo dhurumu haki,uhai na usawa msahau,tarehe 7 ,ratiba...
10 Reactions
31 Replies
469 Views
Ujumbe ni kwa uongozi wa Chadema jadilini hili kwenye vikao, Hakuna uwezo wa Kilojistiki wa Kuzuia mikutano ya siasa ya Chadema, ni suala la kuamua na kutopokea katazo haramu. Ninaleta swali la...
3 Reactions
10 Replies
392 Views
Eti samia kaiweka akili kama ya Mhe. LISSU pale Ukonga GEREZANI halafu kaliacha BUNGE liwe na akili kama za WANU binti yake make hapo kwanza nicheke😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2 Reactions
5 Replies
195 Views
Mauaji, nini humfanya mtu aamue kumuua mtu mwingine? Hivi karibuni tumeona visa vya mauaji vikiongezeka, hasa vile vinavyohusishwa na siasa hapa Tanzania. Kuna maswali mengi yananijia kichwani...
15 Reactions
167 Replies
2K Views
Baada ya kuharibu kote huko, sasa anaelekea taratibu kutuharibia amani yetu. Amani ambayo kila siku hujidai kuilinda kwa nguvu zote. Unaweza vipi kusema unailinda amani, huku mkimuacha Sheikh...
16 Reactions
32 Replies
863 Views
Nidhamu ya watumishi wa umma iliimalika. Wakafanya kazi kwa uadilifu na uzembe ukadhibitiwa. Wezi mali za umma kupitia miradi ya umma wakadhibitiwa. Mataifa yote ya Afrika yakatamani yawe na...
3 Reactions
3 Replies
110 Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Tarime Mjini, Ndugu Bashiri Abdallah amesema kuwa amepata taarifa kuwa 'Wasiojulikana' wapo hapa kwenye mazishi ya Suezi, hii ni Tarime, ukija hautoki Soma pia...
8 Reactions
19 Replies
699 Views
Akiongea katika kipindi cha Jambo Asubuhi, Mwandishi Pascal Mayalla amesema Tanzania kuna tatizo kubwa la tafsiri ya sheria, hata kwenye Mihimili mitatu ya dola.
14 Reactions
30 Replies
2K Views
Je, Kilio cha Haki Kitasikika? Inaonekana ukosefu wa haki umeenea kila mahali. Fikiria mifano miwili ya watu waliohukumiwa isivyo haki: Mnamo Januari 2018, hakimu nchini Marekani aliamuru...
1 Reactions
7 Replies
142 Views
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania nini kimewasibu? Wanatumia salaam za Chama cha Mapinduzi za Kazi na Utu. Halafu wanalazimisha baadhi ya vyombo vya habari vikate hicho kipande cha Salaam...
8 Reactions
61 Replies
1K Views
Wanabodi, Karibu kwenye matangazo haya Live from viwanja vya 77 Kilwa Rd jijini DSM, kuwaletea ufunguzi rasmi wa maonyesho haya ya 50 ya DITF, mgeni rasmi ni rais wa Msumbiji akiandamana na...
5 Reactions
54 Replies
831 Views
Ndio napanda kwenye jukwaa title kama ilivyotumwa kwenye laini yangu ya halotel. Vip huko nyie mmetumiwa nini?? Tuambatanishe na kapicha kama kapo. JOTO LA MAANDAMANO NI KALI
1 Reactions
12 Replies
102 Views
Hivi vikundi maalumu vya kijeshi visivyo rasmi vinavyo tumika kulinda mamlaka kwa njia yoyote ni hatari sana tena zaidi ya hatari. Huko tuendako kama nchi ni hatari hivi vikundi vikiendelea...
16 Reactions
25 Replies
393 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limesema kuwa majukumu ya ulinzi na usalama wa rai na mali zao ni jukumu lao na sio kikundi cha watu Akizungumza wakati akihojiwa Jambo Tv, Kamanda wa Polisi Mkoa...
0 Reactions
12 Replies
278 Views
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesema imefanikiwa kukabiliana na uhaba wa mafuta Nchini ambao ungetokea kufuatia vita vya Mashariki ya Kati vilivyopelekea kuadimika kwa bidhaa hiyo...
1 Reactions
14 Replies
250 Views
Back
Top Bottom