Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge wa Maswa Mashariki, Dkt. George Venance Lugomela, amesema aliwapatia baadhi ya madiwani fedha alizozitaja kuwa ni posho wakati wa mchakato wa kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
2 Reactions
6 Replies
312 Views
Wakati wa vurugu katiba na sheria vinasimama kufanyakazi kusudiwa. Kwenye vurugu na vita hakuna mwenye haki yake, vyote kwa 100% vinapotea ghafla halafu unabakia utawala binafsi, yarabi nafsi...
2 Reactions
26 Replies
296 Views
Nimeangalia video ya Guest aliyolala aliyekua dereva wa John Heche kwa kweli inaonekana ni ya bei rahisi, binadamu naye anahitaji utulivu na kupumzika hasa baada ya safari ndefu akina John Heche...
5 Reactions
56 Replies
1K Views
Hivi ndivyo hali ya Tanzania inavyoonekana kwa sasa Imefikia mahali wadau wa maendeleo wanahofia usalama wa Raia wao. Hii ni aibu kuu
11 Reactions
45 Replies
1K Views
Ni kwanini uovu wao wanauficha nyuma ya Public Holidays? Je, Malengo yao makuu hua ni kupora wafanyabiashara wanaposheherekea na kukusanyika kwenye maonyesho ya siku kuu yao ya sabasaba nchini...
2 Reactions
8 Replies
130 Views
Wanaukumbi. JWTZ MMESIKIKA NA SAUTI IKO SAWA KABISA YAANI ..📌 JWTZ ambao wanaharakati hasa yule rais wa Hungary Maria Sarungi amekuwa anawahusisha na machafuko na njama za kupindua serikali...
4 Reactions
93 Replies
1K Views
Amani iwe nanyi wakuu: Kama Mtanzania na mwanachama wa CCM, naomba kushauri kwa yanayoendelea nchini kwetu hasa suala la utekaji, ufisadi, na ukandamizaji wa haki za binadamu, Ushauri kwa Vyombo...
13 Reactions
21 Replies
320 Views
Hamjambo! 1. Ingawaje wengi wanakataa hayakuwa mapinduzi. Na serikali haijakiri kwenye ripoti zake. Lakini Mimi Mtibeli nakiri yale yalikuwa mapinduzi yaliyojificha kwenye mwamvuli wa...
10 Reactions
232 Replies
4K Views
Source: X-Twitter Page ya The Chanzo TV ======================= Haya ni baadhi ya maoni ya wachangiaji 👇🏻👇🏻
4 Reactions
9 Replies
348 Views
DeletedMember281674
Kwa taarifa zilizo wazi hadi sasa (2026), hakuna uthibitisho rasmi wa serikali ya Tanzania unaosema kutakuwa na maandamano ya tarehe 7 Julai 2026. Hata hivyo, kinachoonekana kwenye mitandao ni...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, ACP Gallus Hyera, amewataka wananchi kuendelea na shughuli zao za kila siku bila hofu, akiwahakikishia kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vimejipanga kikamilifu...
1 Reactions
5 Replies
136 Views
Mbunge wa Viti Maalum mkoani Njombe kupitia chama cha CHAUMMA, Sigrada Wilhem Mligo, amefunguka kuhusu changamoto zinazovikabili vyama vya upinzani nchini, akidai kuwa kuna njama za makusudi...
1 Reactions
2 Replies
177 Views
Sasa Waandamanaji wamegeuka wauaji hata kabla ya maandamano. Kwamba Jeshi limeshaanza kuwakamata Wanaofanya mipango hiyo ya kuua Viongozi wa Serikali. Jeshi la Polisi Tanzania limesema...
1 Reactions
29 Replies
980 Views
Ukimya wake una maana gani kisiasa baada ya kurejea Chadema akitokea NCCR-MAGEUZI, tofauti kabisa na makelele ya wanasiasa wengine wanao tangatanga kama vile mpayukaji Peter Msigwa, anae...
0 Reactions
2 Replies
89 Views
Mbunge wa Viti Maalum mkoani Njombe kupitia chama cha CHAUMMA, Sigrada Wilhem Mligo, amesema serikali iliyopo madarakani kuwa na akili mgando kutokana na kukaa madarakani kwa muda mrefu bila...
0 Reactions
1 Replies
104 Views
Hebu Fikiria kwa sekunde moja. Unatawala moja ya mataifa yenye nguvu zaidi barani Ulaya. Kila siku unajadili siri za vita, diplomasia, NATO, na mustakabali wa taifa lako. Pembeni yako amesimama...
3 Reactions
0 Replies
154 Views
Leo Serikali Kupitia TPDC imeita waandishi na wahariri wa Habari mbalimbali na kutaka kufafanua juu yaadai yaliyotolewa na ACT Wazalendo kuhusiania na kashfa ya uagizaji Mafuta. Nimesikiliza...
3 Reactions
6 Replies
439 Views
"Unajua inasikitisha sana. Kuna muda inabidi tucheke japo havichekeshi. Watu wanajiita wanaharakati, wanajiita wakombozi wa taifa japo taifa letu limeshakombolewa toka mwaka 1961, tukapata uhuru...
0 Reactions
13 Replies
174 Views
Sijui hizi habari zina ukweli kiasi gani ila nimeona kuna watu wanasema Samia kaenda au anaenda huko Paris. Kama ni kweli, jipangeni ‘mumkaribishe’ kwa namna ambayo hatoisahau. Msiogope. Huko...
16 Reactions
22 Replies
1K Views
Back
Top Bottom