Kupata Maendeleo ya Kweli, Watanzania Lazima Tubadili Mind Set Tuchagie Maendeleo, Afya na Elimu. BMH Hospital Anahitaji 7B!. Tuichangie!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
58,497
Reaction score
131,362
Wanabodi

Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo.
BMH 2.jpg

Sisi Watanzania tuna utamaduni wa kuchangiana kwenye sherehe au misiba,
hivyo ili Tanzania tuweze kupata maendeleo ya kweli, maendeleo endelevu, Watanzania ni lazima tubadilike sio tusichangie sherehe au misiba, bali tubadilike na kuanza kuchangia pia afya, elimu na kuchangiana kuleta maendeleo ikiwemo, kuchangiana mitaji.

Kuna msemo wa Kiswahili usemao, chanda chema hivikwa pete, na mcheza kwao hutunzwa, hii ni makala ya kuwahimiza Watanzania, tuichangie Hospitali ya Benjamin William Mkapa, iliyopo Dodoma, kwa jinsi hospitali hii ilivyo ni mkombozi kwa baadhi ya magonjwa, sio tuu ni hospitali mkombozi mkuu wa upandikizaji figo kwa wagonjwa wa figo na upandikizaji wa uloto kwa wagonjwa wa selimundo, bali Tanzania ndio nchi pekee kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati, kupandikisa uloto.

Hospitali hii kwa hapa nchini ndio hospital pekee inayotoa huduma hii nchini Tanzania, hivyo sio tuu ni hospitali tegemewa sana hapa nchini kwetu Tanzania, bali ni fursa kwa nchi yetu kuwa kitovu cha utalii wa kimatibabu, medical tourism, badala ya wagonjwa wa bara la Afrika kufurika nchini India kupata tiba za kibingwa, wafurike Tanzania kupata huduma hizo, na sio tuu kuwatibu watu bali pia kuinui pato la taifa.

Mimi ni mhanga wa ajali mbaya ya pikipiki, mjini Dodoma, nikapata tatizo la brachial plexus injury, kukatika mawasiliano kati ya ubongo na mkono, nikawahishwa hospitali ya Dodoma, flying doctors wakanihamishia Moi, nikapelekwa Hospital ya Mill Park nchini Afrika Kusini, hatimaye nikaenda kuponea India.

Huko kote, vifaa vya vya Moi na vile vya India, vifaa vyetu ni bora zaidi, tatizo letu lilikuwa ni ubingwa wa kufanya operesheni za ubongo, lakini sasa Tanzania tumepiga hatua kubwa, sio tuu kustahili pongezi, bali, juhudi hizo ziungwe mkono kwa watanzania wote, tuchangishane, kuwaokoa wenzetu, kwasababu huduma za kibingwa ni gharama kubwa kwa Watanzania wa kawaida.

Tofauti kati ya Tanzania na huko kote nilikopita kutibiwa, Tanzania mgonjwa anapokelewa hospitalini kama mgonjwa, mtu wa kuhurumiwa na kusaidiwa, kwa wenzetu mgonjwa anapokelewa kama mteja ni mfalme, watu wanakimbizana!. Japo mimi tatizo langu ni mkono, nilikuwa natembea mwenyewe, kufika india, unaletewa kiti, namweleza mhudumu naweza kutembea mwenyewe, anakugomea, wewe ni mgonjwa, sisi tuko hapa kwa ajili ya kukuhudumia, huna sababu ya kutembea, wakati mimi ndio kazi yangu, kaa tukupeleke!.

Hospitali yetu ya Benjamin Mkapa (BMH) imefikia uwezo huo wa kubadilika na kuwa kitovu cha utalii wa kimatibabu mjini Dodoma, ikiwa na mipango ya kuanzisha kijiji cha utalii wa kimatibabu katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).

Mipango hiyo iko katika mkakati kabambe wa miaka 10 wa hospitali hiyo unaolenga kuimarisha huduma maalum za afya, utafiti na mafunzo. Hospitali pia inaanzisha mfuko maalum wa kusaidia upandikizaji wa uloto kwa watoto wanaougua ugonjwa wa seli mundu na huduma za upandikizaji wa figo kwa watu wenye uhitaji kwa kushirikiana na Mfuko wa Kitaifa wa Bima ya Afya (NHIF).

Mpango huo unalenga kukusanya bilioni 7/- ndani ya miaka miwili, huku bilioni 4/- zikiwa tayari zimekusanywa. Mkurugenzi Mtendaji wa BMH, Profesa Abel Makubi, alifichua mipango hiyo wiki hii alipokuwa akiwapa wahariri wa Jukwaa la Wahariri, taarifa jijini Dar es Salaam kabla ya sherehe za miaka 10 za hospitali hiyo zilizopangwa kufanyika Julai mwaka huu.

Profesa Makubi amesema mafanikio ya hospitali katika muongo mmoja uliopita yameiweka katika nafasi ya kupanua utalii wa kimatibabu, na kuvutia wagonjwa kutoka nchi jirani wanaotafuta matibabu maalum.

Alisema BMH kwa sasa ina wafanyakazi 1,073 ikilinganishwa na wafanyakazi 20 pekee wakati hospitali hiyo ilipoanzishwa Oktoba 13, 2015. Kulingana naye, hospitali hiyo sasa inahudumia takriban watu milioni 10 kutoka mikoa minane kote nchini.

Profesa Makubi aliongeza kuwa hospitali imeendelea kuvutia wagonjwa wa kimataifa kupitia huduma za utalii wa kimatibabu. "Chini ya utalii wa kimatibabu, tumewatibu wagonjwa 2,897 kutoka Burundi, 526 kutoka Comoro na mgonjwa mmoja kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), pamoja na wagonjwa wengine wa kigeni," alisema.

Akielezea kwa undani kuhusu upandikizaji wa uloto kwa watoto wenye ugonjwa wa seli mundu, Mkurugenzi Msaidizi na Mtaalamu wa Hematology, Dkt. Stella Mangae, amesema Upandikizaji uloto (Bone Marrow Transplant) ni utaratibu wa kitiba ambapo uloto ulioharibika au kuugua hubadilishwa na kuwekwa uloto wenye afya kutoka kwa mchangiaji. Upandikizaji huu hutibu magonjwa ya Selimundu (Sickle Cell Anemia), Kansa ya Damu (Leukemia) na Matatizo ya Kinga ya Mwili na Magonjwa ya Kurithi

Amesema hadi sasa BMH imeishawatibu wagonjwa 30, ambapo 12 wamepona kikamilifu na kuendelea na maisha ya kawaida, ikiwa ni pamoja na kurudi shuleni. Alisema wagonjwa wawili wamelazwa kwa sasa, akiwemo mmoja kutoka DRC.

Dkt. Mangae alikiri gharama kubwa ya upandikizaji wa uloto lakini akaipongeza serikali kwa kufidia gharama za matibabu zinazofikia milioni 75 kwa kila mgonjwa.
Ili kupunguza mzigo kwa wananchi, serikali na wadau mbalimbali tujitolee kushiriki harambee hii ya hospitali ya BMH kwa kuchangia chochote ulichonacho kuanzia shilingi 1,000, kama Watanzania tuna utamaduni wa kuchangia sherehe kama harusi, lazima sasa tubadilike na kuchangia harambee za Afya na Elimu.

Jinsi ya kuchangia kwa watu wa kawaida, Michango inaweza kutumwa kupitia:
Namba ya Malipo (Control Number): 986930000001
Jina: BMH Organ Tanzania, kwa mitandao yote ya simu.

Kwa upande wa taasisi, michango itumwe akaunti namba : 102501000407
Benki Kuu ya Tanzania
Jina: BMH Organ Tanzania

Hospitali ya BMH ni chanda chema, chanda chema huvikwa pete, tuivike pete kwa kuichangia, kama ilivyo kwa mcheza kwao hutunzwa, tuitunze BMH kwa kuichangia, itutunze!.

Paskali
 
Wanabodi

Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo.
View attachment 3596043

Pesa hizo huko MNAHONGA MATAPELI wa Nigeria wawasafishe na mauaji ya OKTOBA 29
 
Screenshot_20260520-120655~2.png
 
Hatuwezi kufanya hivyo mpaka mazafakas wa Serikali ya CCM waache kula kwa urefu wa kamba zao!
 
Huu ndio uzuri wa watanzania. Kukiwa na uhaba wa maji, mtanzania atachimba kisima. Kukiwa na changamoto ya usalama, atatafuta mlinzi au kuigeuza nyumba kuwa gereza( kujenga kuta).

Huundii utanzania, vibaka wakiongezeka, tubageuka kuwa walinzi! Haya yote yanatokea wakati, Mtu huyu analipa kodi na kuna mamlaka na watu wameajiriwa na kulipwa mishahara ili kuondoa changamoto hizo.

Sikatai watu "kuchangia" lakini wahusika wamekiri kuwa wameshindwa na sasa njia iliyopo ni kuchangia?

Je ni kweli wameshindwa kuboresha huduma hizo? Au kwa kuwa sio kipaumbele chao? Wale wanaokutana pale Makao wabatumia kiasi gfani? Kina tija kwa kwa nani? Au unavyosema kuchangia una maanisha nani?

Je ni Hospitali hiyo pekee ndiyo yenye mahitaji hapa nchini? Kwaniji iwe hiyo pekee,

Nataka kusema hivi, tujenge tabia ya kuzitaka mamlaka kuwajibika kutekekeza wajibu wake, sio kuhamisha wajibu wao kwa wengine
 
Nadhani wanabodi humu aka nyumbu wapo tayari kumchangia Lema ili atumie 300k kwa siku kuliko mambo muhimu kama haya!

Kumbuka, nyumbu huyo hata harufu ya kuku ilishafutika puani kwake
 
1. Na kwa nini tuchangie na wakati hatutibiwi bure kwenye hiyo hospitali?

2. Na kwa nini tuchangie na wakati wananchi tunalipishwa kodi na tozo za kila aina? Hizo fedha zinatumika kwenye matumizi gani?

3. Na kwa nini tuchangie huku serikali kila mwaka ikishindwa kudhibiti vitendo vya rushwa na ufisadi? Haya mabilioni yanayoliwa na wajanja wachache kila mwaka si yangeweza kujengea hospitali nyingi za hadhi ya Benjamin Mkapa nchi nzima?

4. Na kwa nini tuchangie sisi badala ya wabunge na mawaziri wanaolipwa mamilioni ya shilingi kila mwezi?

5. Ni kwa nini serikali isibane matumizi ili kufanikisha upatikanaji wa hicho kiasi cha fedha?
 
Wajinga waliisha, mimi siwezi kuchangia pesa ambayo najua hakuna chombo huru au wahusika watakua wazi kuiaccount , unaweza kushangaa zinakua diverted kutekea watu na sitaki kuchangia mateso ya watu .

Pelekeni hilo bakuli kwa wale walioichangia CCM mabilioni ili kuua watu October 29..
20260410_153600.jpg
 
Napenda sana kuchangia lakini nikiangalia misafara ya wakubwa na nikiona idadi ya magari ya serikali yanayozurula mitaani naumia sana.
Kumbe tunaweza kufa kwa kukosa matibabu wakati serikali yetu ina mapesa yanachezewa.
Naumia mno
 
1. Na kwa nini tuchangie na wakati hatutibiwi bure kwenye hiyo hospitali?

2. Na kwa nini tuchangie na wakati wananchi tunalipishwa kodi na tozo za kila aina? Hizo fedha zinatumika kwenye matumizi gani?

3. Na kwa nini tuchangie huku serikali kila mwaka ikishindwa kudhibiti vitendo vya rushwa na ufisadi? Haya mabilioni yanayoliwa na wajanja wachache kila mwaka si yangeweza kujengea hospitali nyingi za hadhi ya Benjamin Mkapa nchi nzima?

4. Na kwa nini tuchangie sisi badala ya wabunge na mawaziri wanaolipwa mamilioni ya shilingi kila mwezi?

5. Ni kwa nini serikali isibane matumizi ili kufanikisha upatikanaji wa hicho kiasi cha fedha?
No 5, ni kweli 7b ni kiasi kidogo sana kwa serikali ukilinganisha na pesa anazotapanya Makonda kuleta Wageningen wake kufanya usafishaji wao
 
We ni mpumbavu .... Uliwahi kuona wapi mtanzania anapewa huduma bure?, Tz hii kuna huduma gani unapewa bure?. Au hivyo vifaa vinavyonunuliwa kwa kodi zetu unàfikiri pesa zinatokana na kuozesha wewe na Abdul tukapata mahali?.
 
Wanabodi

Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo.
View attachment 3596043
Sisi Watanzania tuna utamaduni wa kuchangiana kwenye sherehe au misiba,
hivyo ili Tanzania tuweze kupata maendeleo ya kweli, maendeleo endelevu, Watanzania ni lazima tubadilike sio tusichangie sherehe au misiba, bali tubadilike na kuanza kuchangia pia afya, elimu na kuchangiana kuleta maendeleo ikiwemo, kuchangiana mitaji.

Kuna msemo wa Kiswahili usemao, chanda chema hivikwa pete, na mcheza kwao hutunzwa, hii ni makala ya kuwahimiza Watanzania, tuichangie Hospitali ya Benjamin William Mkapa, iliyopo Dodoma, kwa jinsi hospitali hii ilivyo ni mkombozi kwa baadhi ya magonjwa, sio tuu ni hospitali mkombozi mkuu wa upandikizaji figo kwa wagonjwa wa figo na upandikizaji wa uloto kwa wagonjwa wa selimundo, bali Tanzania ndio nchi pekee kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati, kupandikisa uloto.

Hospitali hii kwa hapa nchini ndio hospital pekee inayotoa huduma hii nchini Tanzania, hivyo sio tuu ni hospitali tegemewa sana hapa nchini kwetu Tanzania, bali ni fursa kwa nchi yetu kuwa kitovu cha utalii wa kimatibabu, medical tourism, badala ya wagonjwa wa bara la Afrika kufurika nchini India kupata tiba za kibingwa, wafurike Tanzania kupata huduma hizo, na sio tuu kuwatibu watu bali pia kuinui pato la taifa.

Mimi ni mhanga wa ajali mbaya ya pikipiki, mjini Dodoma, nikapata tatizo la brachial plexus injury, kukatika mawasiliano kati ya ubongo na mkono, nikawahishwa hospitali ya Dodoma, flying doctors wakanihamishia Moi, nikapelekwa Hospital ya Mill Park nchini Afrika Kusini, hatimaye nikaenda kuponea India.

Huko kote, vifaa vya vya Moi na vile vya India, vifaa vyetu ni bora zaidi, tatizo letu lilikuwa ni ubingwa wa kufanya operesheni za ubongo, lakini sasa Tanzania tumepiga hatua kubwa, sio tuu kustahili pongezi, bali, juhudi hizo ziungwe mkono kwa watanzania wote, tuchangishane, kuwaokoa wenzetu, kwasababu huduma za kibingwa ni gharama kubwa kwa Watanzania wa kawaida.

Tofauti kati ya Tanzania na huko kote nilikopita kutibiwa, Tanzania mgonjwa anapokelewa hospitalini kama mgonjwa, mtu wa kuhurumiwa na kusaidiwa, kwa wenzetu mgonjwa anapokelewa kama mteja ni mfalme, watu wanakimbizana!. Japo mimi tatizo langu ni mkono, nilikuwa natembea mwenyewe, kufika india, unaletewa kiti, namweleza mhudumu naweza kutembea mwenyewe, anakugomea, wewe ni mgonjwa, sisi tuko hapa kwa ajili ya kukuhudumia, huna sababu ya kutembea, wakati mimi ndio kazi yangu, kaa tukupeleke!.

Hospitali yetu ya Benjamin Mkapa (BMH) imefikia uwezo huo wa kubadilika na kuwa kitovu cha utalii wa kimatibabu mjini Dodoma, ikiwa na mipango ya kuanzisha kijiji cha utalii wa kimatibabu katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).

Mipango hiyo iko katika mkakati kabambe wa miaka 10 wa hospitali hiyo unaolenga kuimarisha huduma maalum za afya, utafiti na mafunzo. Hospitali pia inaanzisha mfuko maalum wa kusaidia upandikizaji wa uloto kwa watoto wanaougua ugonjwa wa seli mundu na huduma za upandikizaji wa figo kwa watu wenye uhitaji kwa kushirikiana na Mfuko wa Kitaifa wa Bima ya Afya (NHIF).

Mpango huo unalenga kukusanya bilioni 7/- ndani ya miaka miwili, huku bilioni 4/- zikiwa tayari zimekusanywa. Mkurugenzi Mtendaji wa BMH, Profesa Abel Makubi, alifichua mipango hiyo wiki hii alipokuwa akiwapa wahariri wa Jukwaa la Wahariri, taarifa jijini Dar es Salaam kabla ya sherehe za miaka 10 za hospitali hiyo zilizopangwa kufanyika Julai mwaka huu.

Profesa Makubi amesema mafanikio ya hospitali katika muongo mmoja uliopita yameiweka katika nafasi ya kupanua utalii wa kimatibabu, na kuvutia wagonjwa kutoka nchi jirani wanaotafuta matibabu maalum.

Alisema BMH kwa sasa ina wafanyakazi 1,073 ikilinganishwa na wafanyakazi 20 pekee wakati hospitali hiyo ilipoanzishwa Oktoba 13, 2015. Kulingana naye, hospitali hiyo sasa inahudumia takriban watu milioni 10 kutoka mikoa minane kote nchini.

Profesa Makubi aliongeza kuwa hospitali imeendelea kuvutia wagonjwa wa kimataifa kupitia huduma za utalii wa kimatibabu. "Chini ya utalii wa kimatibabu, tumewatibu wagonjwa 2,897 kutoka Burundi, 526 kutoka Comoro na mgonjwa mmoja kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), pamoja na wagonjwa wengine wa kigeni," alisema.

Akielezea kwa undani kuhusu upandikizaji wa uloto kwa watoto wenye ugonjwa wa seli mundu, Mkurugenzi Msaidizi na Mtaalamu wa Hematology, Dkt. Stella Mangae, amesema Upandikizaji uloto (Bone Marrow Transplant) ni utaratibu wa kitiba ambapo uloto ulioharibika au kuugua hubadilishwa na kuwekwa uloto wenye afya kutoka kwa mchangiaji. Upandikizaji huu hutibu magonjwa ya Selimundu (Sickle Cell Anemia), Kansa ya Damu (Leukemia) na Matatizo ya Kinga ya Mwili na Magonjwa ya Kurithi

Amesema hadi sasa BMH imeishawatibu wagonjwa 30, ambapo 12 wamepona kikamilifu na kuendelea na maisha ya kawaida, ikiwa ni pamoja na kurudi shuleni. Alisema wagonjwa wawili wamelazwa kwa sasa, akiwemo mmoja kutoka DRC.

Dkt. Mangae alikiri gharama kubwa ya upandikizaji wa uloto lakini akaipongeza serikali kwa kufidia gharama za matibabu zinazofikia milioni 75 kwa kila mgonjwa.
Ili kupunguza mzigo kwa wananchi, serikali na wadau mbalimbali tujitolee kushiriki harambee hii ya hospitali ya BMH kwa kuchangia chochote ulichonacho kuanzia shilingi 1,000, kama Watanzania tuna utamaduni wa kuchangia sherehe kama harusi, lazima sasa tubadilike na kuchangia harambee za Afya na Elimu.

Jinsi ya kuchangia kwa watu wa kawaida, Michango inaweza kutumwa kupitia:
Namba ya Malipo (Control Number): 986930000001
Jina: BMH Organ Tanzania, kwa mitandao yote ya simu.

Kwa upande wa taasisi, michango itumwe akaunti namba : 102501000407
Benki Kuu ya Tanzania
Jina: BMH Organ Tanzania

Hospitali ya BMH ni chanda chema, chanda chema huvikwa pete, tuivike pete kwa kuichangia, kama ilivyo kwa mcheza kwao hutunzwa, tuitunze BMH kwa kuichangia, itutunze!.

Paskali
Mzee wa hovyo kweli wewe yani rasilimali zote hizo bado mnawaza kuwabana raia.Wapeni watu wenye uwezo wa kuongoza nchi msing'ang'anie madaraka yameshawashinda mzee.
 
Kichwa cha mleta uzi ni box la kubebea nywele. Wajita wanasema hamna chinu, jitalimo.
 
Back
Top Bottom