Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

"Unajua inasikitisha sana. Kuna muda inabidi tucheke japo havichekeshi. Watu wanajiita wanaharakati, wanajiita wakombozi wa taifa japo taifa letu limeshakombolewa toka mwaka 1961, tukapata uhuru...
0 Reactions
13 Replies
174 Views
Sijui hizi habari zina ukweli kiasi gani ila nimeona kuna watu wanasema Samia kaenda au anaenda huko Paris. Kama ni kweli, jipangeni ‘mumkaribishe’ kwa namna ambayo hatoisahau. Msiogope. Huko...
16 Reactions
22 Replies
1K Views
Mbunge wa Viti Maalum (Mkoa wa Njombe) kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Sigrada Mligo amesema madai ya kwamba Bunge la sasa ni "Bunge haramu" yanatokana na namna uchaguzi mkuu...
0 Reactions
0 Replies
105 Views
Mbunge wa Viti Maalum (Mkoa wa Njombe) kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Sigrada Mligo amesema Tanzania imeacha kuongozwa na misingi ya sheria katika baadhi ya masuala na badala yake...
0 Reactions
1 Replies
97 Views
Wasalaam, Hivi ndivyo alivyofanya David Kafulila chuo kikuu cha DODOMA, amefafanua jambo moja baada ya jingine kwa kina, Soma mpaka mwisho l, === 1. $1 Trilioni Club inawezekana Historia...
6 Reactions
47 Replies
1K Views
Kadri siku zinavyokaribia, baadhi ya waliokuwa mstari wa mbele kuhamasisha maandamano wanaonekana kujiondoa mmoja baada ya mwingine. Hilo linaibua maswali kuhusu uimara wa mipango hiyo na kama...
1 Reactions
21 Replies
541 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinasikitika kuwatangazia kifo cha, Suez Dani Maradufu ambaye ni dereva wa Makamu wa Mwenyekiti Bara, John Heche. Suez amekutwa amefariki leo asubuhi...
17 Reactions
239 Replies
8K Views
Ndugu zangu Watanzania, Waziri Mkuu wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Mr CLEAN Amepiga Marufuku Na kutoa Maagizo Mazito kwelikweli ya kufuatiliwa na kukamatwa wale Viongozi...
2 Reactions
40 Replies
717 Views
Hamjambo wote! Kwa wale waliosoma Jiografia hasa kwenye masuala ya Spatial and settlements distribution mtakubaliana na mimi kuhusu jambo hili. Kila sehemu, Mahali Ina style yake ya ujenzi...
2 Reactions
3 Replies
192 Views
PPP IMEONGEZA WINGI WA MIZIGO BANDARI YA DAR ES SALAAM MARADUFU-KAFULILA. Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania (PPPC), Bwana David Kafulila, akizungumza katika Chuo Kikuu cha Mzumbe mjini...
4 Reactions
48 Replies
522 Views
Imagine hii ni benki Moja tuu ,Bado zingine kibao.BoT waeleze hizo pesa Huwa wanazipeleka wapi kama sio wanapita nazo? My Take Lazima Siri iendelee kuwepo kuhusu Mali na pesa Kwa wanandoa maana...
11 Reactions
42 Replies
993 Views
Wakati kukiwa na taarifa za makundi kadhaa ya watu wanaopanga na kuhamasisha maandamano tarehe 7 Julai, 2026, makuli na washusha mizigo ya nafaka katika kata ya Manzese wilayani Ubungo mkoani Dar...
2 Reactions
54 Replies
945 Views
Pia soma: RPC Mutafungwa: Tunachunguza wa kuwasaka wanaosambaza vipeperushi vyenye ujumbe wa kuhamasisha vurugu na uchochezi kuelekea 7/7
6 Reactions
13 Replies
563 Views
Sheikh Mwaipopo akiwa amezungukwa na baadhi ya vijana hao,anasema kuwa kikosi chao tayari kimesambazwa na kushika hatamu katika miji mikubwa ikiwemo Dar es Salaam, Arusha, Mwanza, Mbeya, Iringa...
13 Reactions
197 Replies
4K Views
Waziri wa mambo ya ndani ya Nchi Patrobas Katambi amewataka wafanyabiashara, wajasiriamali, waendesha bodaboda na bajaji pamoja na wananchi wote kuendelea na shughuli zao za kiuchumi kama kawaida...
3 Reactions
7 Replies
207 Views
Sudan inakabiliwa na moja ya majanga mabaya zaidi ya kibinadamu duniani. Tangu Aprili 2023, zaidi ya watu 400,000 wameripotiwa kuuawa na takribani watu milioni 12 wamekimbia makazi yao. Kikosi cha...
1 Reactions
2 Replies
293 Views
Sheikh Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Mwanza, Hassan Kabeke amesema si kweli kwamba vyombo vya ulinzi na usalama nchini vinahusika na mauaji ya raia akieleza kuwa tuhuma...
1 Reactions
43 Replies
855 Views
WAZIRI MKUU AANZA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TANO MKOANI MARA Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Seronera, wilayani Serengeti mkoani Mara, kuanza ziara ya kikazi...
3 Reactions
19 Replies
393 Views
Kwa tafsiri ya haraka ni kuwa anakubalika na anapendwa na raia wengi wa nchi yake. Asingekuwa na hofu kabisa na maandamano sabababu ambao wangeandamana ni wachache sana kuliko wale mil 33...
9 Reactions
17 Replies
245 Views
Mbunge Sigrada: ‘Watu kufeli Shule ya Sheria Tanzania ni mkakati wa kisiasa wa kutokuzalisha mawakili wengi
6 Reactions
47 Replies
900 Views
Back
Top Bottom