Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,468
- 11,249
Kwa nchi zinazojali utu, huwezi kushilikiana na serikali katili ya CCM. Kwa sasa ipi tofauti ya CCM na vikundi vya kigaidi kama Hamas, ISS, na Boko Haram. Maana wote wanaua,wote wanateka,wote wanalawiti, wote hawafati demokrasia.
Kama ilivyotokea Zimbabwe, haiwezekani US akupige Pini then UK, EU na Canada wawe upande wako.
CCM jiulize why 2005-2015, hayo mambo hayakuwepo, mlipokea ugeni mzito kina Bush,Obama, Xi. Now wageni wenu ni vibaka kina Kagame na Museveni.
Tanzania now badilika
Harakaharaka tarehe 11,mwachie Lissu labda mnaweza pumua kidogo.