kinondoniilala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 2,138
- 3,078
Awamu ya Tano ya JIWE ulifanikiwa kuongea na Maseneta wa Marekani zaidi ya 20, na ukitaka uwakutanishe na JIWE, lakini JIWE akachomoa betri.
Naamini hili linaloendelea kwako ni jepesi Sana kama Mshauri wa Namba 1 katika masuala ya Diplomasia.
Tunakuomba uokoe Taifa katika hili, naamini wale Seneta wa Marekani ni marafiki zako, utazungumza nao na litaisha
Nawasilisha