Rais Samia atajutia sana Humphrey Polepole kutekwa

Rais Samia atajutia sana Humphrey Polepole kutekwa

Polepole ndio angekuwa kiungo cha Maridhiano Nchini na Duniani.

waliwaza nini washauri wa Samia... Kweli kuna muda mtu huwa na upofu
Kipindi hiki polepole, january hawa walikuwa na uwezo wa kuzima au kupunguza joto kwa yaliyotokea

Lakin as usual huwa hawajifunzi hadi matatizo yawakute
 
tu anatumia akili za makonda a.k.a Joyce wowo🤣🤣🙌 ila ccm ni wasenge sana kama tume makende chande.
 
Polepole ndio angekuwa kiungo cha Maridhiano Nchini na Duniani.

waliwaza nini washauri wa Samia... Kweli kuna muda mtu huwa na upofu
kama unao ushahidi wa Samia kuhusika na utekwaji wa Polepole, nitumie PM haraka iwezekanavyo.
 
Back
Top Bottom