Anaandika Mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini Godbless Lema:
===============
Kwanza, Kamati Kuu ya CHADEMA, mahali popote, haijawahi kujadili AJENDA ya Maridhiano tangu Oktoba 29...
Nimeona watu wanajadili kuhusu mfumo wa majimbo na kusema ukija makabila makubwa yanaweza kuhodhi madaraka na hivyo makabila madogo yakawa hayana uwezo wakutoa viongozi wakubwa.
Mfumo wa majimbo...
Sisi wataalamu wa kuyasoma matukio tumeamshwa tena ...na hatutaacha kuonya na kusema.
Wale wale waliowahi kuzandiki Serikali tena kipindi kile kile cha kuelekea uchaguzi wamerudi tena kwa style...
Hivi ndivyo ilivyokuwa wakati akii - impose hoja hii..
Jaji Ndunguru: Bado una mashahidi watatu tutamaliza Natumaini tutamaliza within time mshtakiwa maana tulitegemea Ijumaa mngewasilisha final...
Atakaye amini huu uongo na uzandiki basi atakuwa hajiyambui.
Yaani mtu abadilishe gari namba zake. Alafu achukue bastola ya kuchechezea watoto alafu atishie mtu hadharani.
Hajui madhara yake? Je...
Siwezi kuamini hata kidogo kuwa barua ya kujiuzulu inayodaiwa kuandikwa na Dr. Nchimbi ni kweli imeandikwa na Nchimbi mwenyewe. Kama kuna mwenye ushahidi kuwa ni kweli yeye ndie mwandishi wa barua...
Kiprotokali ni Rais ndiye alitakiwa atangaze kupokea barua ya Emmanuel Nchimbi kujiuzulu umakamo wa Rais na siyo Nchimbi kutangaza kuwa amemuandikia Rais barua ya kujiuzulu.
Hili kosa la...
ACT Wazalendo wao, kila uchaguzi ukiisha, wanaitwa kwenye maridhiano kugawiwa vyeo. Dalali Zitto alicheza kama Pele kuipeleka ACT Zanzibar.
Hiki chama yaani wao huwa kinasubiri uchaguzi uishe...
Wakuu kuna MTU aliwahi kusema TUNDU LISSU Alikamatwa Kwa maelekezo ya ROSTAM AZIZ mara baada ya TUNDU LISSU kugusia Usafishaji wa kimagendo wa Makaa ya Mawe na Madini ya Uranium Tani Kwa matani...
Hili jambo nimewaza muda mrefu na nimekuwa nashangaa watu hawajaweza kung'amua hili jambo.
Kipindi kile ambacho matukio ya watu kupotea na kuuawa yalipozidi, kauli iliyokuwa inatolewa na vyombo...
Tasnia ya habari Tanzania ni mfu.
Imejaa watu waoga, wajinga, wapumbavu, machawa, waganga njaa, na walamba makalio.
Kwa wadau wa matukio ya habari duniani, mtakuwa mnajua kuwa Rais wa Marekani...
Kundi la Mawaziri wa Jumuiya ya Madola la Kuchukua Hatua (CMAG) limeamua kuendelea kuiweka Tanzania kwenye Ajenda Rasmi (Formal Agenda) ya kundi hilo, huku likitaka Serikali kuchukua hatua zaidi...
Previously: Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1) - JamiiForums
Karume na Jussa ni wamoja na wanafahamiana vizuri sana kuliko wewe unavyofikiri...
20 January 2026
Mahakama Kuu
Kivukoni,
Dar es Salaam, Tanzania
https://m.youtube.com/watch?v=GE4wN4GVeyw
Waziri wa zamani kwenye Wizara mbalimbali Geoffrey Idelphonce Mwambe amefungua kesi...
Wazungu wanazema time will tell! Time has spoken now. KIFO NI KIFO LAZIMA KILETE TAHARUKI.
Haya yote watu kwenda Kizimkazi ni kwa vile KIFO SIYO KIFO, LAZIMA KILETE TAHARUKI.
Nadhani kuna SOMO...
Hiki ni kioja kingine toka CCM. Chama kikongwe kuliko vyote nchini badala ya kuajiri Msemaji mwenye Weledi kimeleta Msema chochote (MC).
Cheo chake cha asili kinahusu Uenezi wa Itikadi ya Chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.