Wakati akizungumza katika kipindi cha Kurunzi kinachorushwa na DW, Askofu Mwamakula amehoji hatima ya Dkt. Emmanuel Nchimbi, akitaka Serikali kutoa ufafanuzi kuhusu alipo pamoja na hatua...
Akiongea huko Madale mkuu wa mkoa ameliagiza jeshi la polisi liikamate familia yote ya mzee Mushi na kuwaweka kolokoloni! Ni lipi kosa la mke na watoto wa mzee Mushi wanahusika na kosa ambalo...
Nduguru, ilikua ni mpewe Maelekezo ya Moja kwa Moja Kutoka juu ya Kumfunga LISSU na Hukumu ya Kunyongwa.
Ila kwakua Mtesi wa LISSU, anaogopa Siku Moja mtatoa ushahidi WA kupewa Maelekezo hayo...
🚨 MASHINE YA CHAMA-DOLA: JINSI MFUMO UNAVYOMEZA TAIFA (NUKUU NDEFU ZA WASOMI) 🚨
Jana, Mwenezi Wa CCM, Alitamka kuwa
"Serikali Inapaswa ijue CCM ni kubwa kuliko Serikali"
JE upo ukweli wa Kauli...
Hamjambo!
Zamani tulizoea kuona huku Ukristoni pakitokea watu wanaodhalilisha vyeo kama uchungaji, ukuhani, unabii na utume.
Ilifikia hatua mpaka Waislam wakawa wanasema Wakristo ni mazuzu kwani...
Msishangae wakuu wa majeshi wakapanga safari kukimbia kesi ya Lissu. Watasema wamesafiri kikazi! siku kumi na nne za kesi zikiisha wajipe muda zaidi maana hawataweza kujibu maswali
Wakati sisi tukimfungulia kesi za Uhaini mataifa ya Ulaya yanathamini mchango wake.
Kati ya viongozi mashuhuri Duniani waliopata tuzo hii ni pamoja na Nelson Mandela, Malala Yousafzai, Nadia...
Mambo yamebadilika sana kizazi hiki
Ukiwasikiliza wanajinasibu kuwa vijana ndio nguvu ya Taifa utafikiri hizo nguvu wanazo kweli
CCM imefanikiwa kwa kiwango kikubwa sana "kuwaua" vijana...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Anastahili Pongezi,anastahili heshima na kuheshimiwa, anastahili...
kuna mlolongo wa ziara za Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa viongozi wakuu wastaafu katika miezi ya karibuni, na baadhi yake zilikuwa karibu sana na kujiuzulu kwake. Lakini ni muhimu kutenganisha...
Jana nilikusikia na kukusikitikia sana. Jinsi unavyojikaanga kwa mafuta yako mwenyewe. Jinsi unavyoonesha kuchoka na kukinai nafasi uliyonayo kwasasa chamani. Pale ulipozungumzia kuhusu mdahalo na...
Taarifa za hivi punde ni kuwa kamanda Mohamedi Mtoi amepata ajali na kufariki dunia
WAMETOKA KWENYE MKUTANO WA KAMPENI TARAFA YA MLOLA.
KAMANDA MTOI AKAWAPELEKA WENZAKE MPAKA LUSHOTO MJINI...
Najua hamtaniamini. Najua mpo mtakaobisha vya kutosha na kutisha. Mtapaniki kuliko pikipiki ya kutumia kiki. Lakini, nawaambia jambo hili. Ni jambo geni na kubwa lakini muhimu na linalowezekana...
Kinachosubiriwa Sasa kwenye kesi ya lisu ni 1.submission na lisu alishasema atafanya oral submission tarehe 23/9/ 2027 2. Hukumu, hili la hukumu litafuata soon TU baada ya final submission ...
Wakati naenda makumbusho Leo nimekutana na mtu mmoja amvaa baragashia akasema
'Wanamtandao wanatanduana ni mnyukano Kati Yao
Akanidokeza kuwa waziri mkuu ajaye ni Mchengerwa soon as possible...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.