JESHI LA POLISI TANZANIA – KITENGO CHA USALAMA BARABARANI
Askari wa Usalama Barabarani wanaoomba rushwa tena bila kificho—je, wewe umewahi kukutana na hali hii?
Je, umewahi kusimamishwa na...
Mwaka 1964 palitokea jaribio la mapinduzi ya kijeshi wana Tanu wanasema lilikuwa ni kama maasi ya wanajeshi wa Tanganyika Rifles.
Chanzo ilikuwa Nyerere hakuwapa vyeo maaskari weusi wa...
Mtaelewa kwanini ile sheria ya usalama wa taifa kuteka na kuua bila kuhojiwa wala kuulizwa ilipitishwa na wabunge hawa,
Hongereni CCM, tena hongereni sana sasa nchi itakula mavuno ya kazi yenu ...
Mmawia tena nimeibuka mshindi pamoja na wale tuliokuwa/ tunao endelea kukubali sana Urusi dhidi ya USA.
Mwanzoni kabisa mwa Vita kati ya Urus na chawa wa USA nchi ya Ukraine nilisema au tulisema...
Habari ndugu wana jamii forums.
Nimeshtushwa sana na kauli ya kiuchochezi na kibaguzi iliyotolewa na Rais wa Kenya, William Ruto juu ya amri ya kuanza kukamata wageni wote wanaofanya biashara...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la The Voices from Within,naomba kulianza kwa disclaimer
Wanabodi
Haya mambo ya mtu kusikia sauti, sio mambo ya ulimwengu huu wa mwili, haya ni mambo ya ulimwengu wa...
Ndugu Watanzania!
Usiku huu nimepokea ujumbe kutoka kwa mtu ambaye ni mmoja wa ndugu wa Mhe. Balozi Humphrey Polepole. Nimebadilisha initials au utambulisho wake kwa sababu za kiusalama. Suala la...
Hivi hiki kilichofanyika Mkutano mkuu wa ccm Dodoma leo ni uchaguzi , uteuzi au kuthibitisha jina la mteuliwa ?
Uchaguzi ni kuchagua mtu au vitu zaidi ya kimoja sasa mtu yupo mmoja hapo unakuwa...
Katibu Mkuu wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), Dua Lyamzito, amesema kuwa tofauti kubwa kati ya baraza hilo na mabaraza ya vijana ya vyama vingine vya siasa nchini...
Hatuwezi kushindana na kushinda kiuchumi bila katiba mpya. Kenya mfano bila katiba leo tungekuwa tumewazidi kiuchumi. Kwasasa umasikini mkubwa wetu umetokana na katiba mbovu
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka Watanzania wote kutofautisha kati ya mpango wa Bima ya Afya kwa Wote na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), akisisitiza kuwa mfumo wa bima ya afya sio...
RMO Chunya na Songwe, tunawaomba mchukue hatua za haraka na za kisheria dhidi ya leseni za utafiti wa madini ambazo zimepitwa na muda au hazifanyiwi kazi, badala ya kuendelea kuacha maeneo makubwa...
Wote tunajua Dudu baya anapinga ushoga kwa kauli mbiu ya You better watch your back
Afande amekosea kitendo cha Waziri wa mambo ya ndani, kuwaita mashoga kwamba ni Wasanii na akawaita wakutane...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema kuanzisha makundi yenye sura ya kufanya kazi za ulinzi na usalama bila kutambuliwa na mamlaka ni kinyume cha sheria.Katambi ameeleza...
Shirika la Ndege Tanzania (Air Tanzania) limetangaza kurejesha safari zake za Dar es Salaam-Moscow kuanzia Septemba 7, saa chache baada ya kutangaza kuzisitisha kutokana na wasiwasi wa kiusalama...
Kama kuna la kujifunza wengine wajifunze sasa. Na ni lazima wajilazimishe kutambua ya kwamba kuna kesho. Na kesho ni kubwa kuliko leo
Watoto wa wanasiasa.. Wazazi wenu baadhi mikono yao imejaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.