Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini (Sugu) aleta wawekezaji wa Kimataifa Nchini Tanzania

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,755
218,373
Screenshot_2023-12-21-14-36-04-1.png

Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Mbunge ajaye wa Mbeya Mjini , ambaye pia ni Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Kimataifa , Bilionea Joseph Mbilinyi , Yeye badala ya kuwaita watanzania wenzake jina la kikatili na la kijinga la WANYONGE , ameamua kuupiga vita Umasikini kwa kutafuta wawekezaji wa Uturuki , kwa ajili ya mazao ya kilimo na madini .

Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba lengo kuu la Sugu ni kuhakikisha Wakulima wa Mbeya na Tanzania wanapata soko la Uhakika la kuuzia Matembele yao , michicha na kabichi zao , Mchele wa Kyela , Mbarali na keingineko Nchini , badala ya kupata hasara kwa bidhaa hizo na nyingine kuozea shambani .

Kwa niaba yangu na kwa niaba ya Watanzania wote nampongeza sana Sugu kwa huruma yake na utu wake kwa watanzania wenzake na kuamua kuwatafutia soko la uhakika la mazao yao , ana roho ya kitajiri sana
 
View attachment 2849086
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Mbunge ajaye wa Mbeya Mjini , ambaye pia ni Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Kimataifa , Bilionea Joseph Mbilinyi , Yeye badala ya kuwaita watanzania wenzake jina la kikatili na la kijinga la WANYONGE , ameamua kuupiga vita Umasikini kwa kutafuta wawekezaji wa Uturuki , kwa ajili ya mazao ya kilimo na madini .

Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba lengo kuu la Sugu ni kuhakikisha Wakulima wa Mbeya na Tanzania wanapata soko la Uhakika la kuuzia Matembele yao , michicha na kabichi zao badala ya kupata hasara kwa bidhaa hizo na nyingine kuozea shambani .

Sugu huyu huyu

USSR
 
๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„ ila Erythrocyte una vituko sana .kwa hiyo hao ndio wawekezaji wa matembele na mchicha wa kule makondeko na pa mbogo๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„. Halafu napenda kukwambia kuwa jimbo la Mbeya ni la Dr Tulia ambaye ndiye mwenye hati miliki nalo aliyopewa na wana Mbeya wenyewe. Kwa sasa hakuna mwenye akili Timamu anayeweza kumpa kura ya ndio Sugu. Alipewa ubunge kwa miaka kumi akaishia kufanya mambo hovyo hovyo tu na kunyoosha kidole cha aibu Akiwa ndani ya ukumbi wa bunge.mbeya haipo tayari kupeleka mhuni mhuni aina ya Sugu kuwakilisha jimbo lenye hadhi na heshima kubwa kama Mbeya mjini.
 
Jikite kwenye mada
 
Barakala Mwandamizi (Chief Bootlicker)
 
Jikite kwenye mada
Sugu asahau kwenda bungeni.labda bunge la CHADEMA ambalo mtakuwa mnafanya wenyewe kwenye ofisi zenu zilizokosa nuru na matumaini licha ya kupokea mamilioni ya Ruzuku.mlipewa million mia moja na mzee sabodo ili mjenge ofisi lakini bado mkazitafuna kama mchwa wenye njaa. Michango ya wabunge kwa miaka yote mkatafuna kama mafisi. Pesa na michango ya wadau ,wanachama na wakereketwa kama ile ya join the chain mkala Kama mwewe bila huruma.hivi nyie CHADEMA na akina sugu hamna huruma? Hamna aibu? Hamtosheki? Kwanini ni walafi sana linapokuja suala la pesa? Kwanini ni waroho sana mnapoona pesa mbele yenu? Kwanini ni wenye tamaa sana pesa zikiwa mikononi mwenu? Kwanini mnakuwa mitapeli sana nyie?
 
ila Erythrocyte una vituko sana .kwa hiyo hao ndio wawekezaji wa matembele na mchicha wa kule makondeko na pa mbogo. Halafu napenda kukwambia kuwa jimbo la Mbeya ni la Dr Tulia ambaye ndiye mwenye hati miliki nalo aliyopewa na wana Mbeya wenyewe. Kwa sasa hakuna mwenye akili Timamu anayeweza kumpa kura ya ndio Sugu. Alipewa ubunge kwa miaka kumi akaishia kufanya mambo hovyo hovyo tu na kunyoosha kidole cha aibu Akiwa ndani ya ukumbi wa bunge.mbeya haipo tayari kupeleka mhuni mhuni aina ya Sugu kuwakilisha jimbo lenye hadhi na heshima kubwa kama Mbeya mjini.
Ungee njee ya tz ungejuwa thamani ya vegetables huko
Tatizo lenu fursa mnazo mnazikalia
Mshazoea kuishi kwa kupiga domodomo...
Alafu mtu anajiita mkulima ukulima umefanya wapi wewe

Ova
 
View attachment 2849086
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Mbunge ajaye wa Mbeya Mjini , ambaye pia ni Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Kimataifa , Bilionea Joseph Mbilinyi , Yeye badala ya kuwaita watanzania wenzake jina la kikatili na la kijinga la WANYONGE , ameamua kuupiga vita Umasikini kwa kutafuta wawekezaji wa Uturuki , kwa ajili ya mazao ya kilimo na madini .

Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba lengo kuu la Sugu ni kuhakikisha Wakulima wa Mbeya na Tanzania wanapata soko la Uhakika la kuuzia Matembele yao , michicha na kabichi zao badala ya kupata hasara kwa bidhaa hizo na nyingine kuozea shambani .

Kwa niaba yangu na kwa niaba ya Watanzania wote nampongeza sana Sugu kwa huruma yake na utu wake kwa watanzania wenzake na kuamua kuwatafutia soko la uhakika la mazao yao , ana roho ya kitajiri sana

Wawekezaji wanakunywa coke hawajui ina sukari nyingi watakufa kabla ya uwekezaji wao
 
Sugu kwa roho mbaya yake na kukosa uungwana alishindwa hata kukiwezesha chama kuwa na ofisi yake Mbeya mjini .mpaka ikafikia hatua anaingia kwenye migogoro na mzee wa upako baada ya kuona mwambigija anafanya juhudi binafsi kutafuta uwanja kwa ajili ya ofisi ya chama. Sugu yeye kazi yake ni kuleta uhuni uhuni na usera wa kijinga tu. Sasa wana Mbeya hawataki tena ubabaishaji wake na usera wa kishamba katika jiji la mbeya.

Wanataka jimbo liongozwe na mtu anayetambu thamani ya jiji la Mbeya ambaye ni Dr Tulia Dada msomi,mchapa kazi,mzalendo ,mwenye huruma,upendo na moyo wa kuwajali wana mbeya .ndio sababu wamempatia Dr Tulia hati miliki ya kuongoza jimbo la Mbeya mjini. Sugu hata leo ukimuuliza aliifanyia nini Mbeya katika ubunge wake hakuna anachoweza kukuonyesha wala kukwambia zaidi ya kuleta mavurugu na kulifanya jimbo kuwa uwanja wa vurugu kama Mbunga ya wanyama. Sasa wana Mbeya wamempata Dr Tulia ambaye amelituliza jimbo la Mbeya na maendeleo yanafanyika kwa utulivu na kwa kasi ya mwanga.

Chini ya Dr Tulia Mbeya inakwenda kushuhudia barabara za njia nne kutoka igawa Mbeya hadi Tunduma mkoani Songwe ,hii yote ni kazi na ushawishi wa Dr Tulia kwa serikali yake. Ni mikono na ulimi wa Dr Tulia.
 
Ungee njee ya tz ungejuwa thamani ya vegetables huko
Tatizo lenu fursa mnazo mnazikalia
Mshazoea kuishi kwa kupiga domodomo...
Alafu mtu anajiita mkulima ukulima umefanya wapi wewe

Ova
Sasa na wewe kwa akili yako Sugu anaweza kukuletea wawekezaji? Unamfahamu sugu au unamsikia? Yule ni tapeli wa kisiasa. Alishindwa kusaidia chama chake kupata ofisi nzuri na ya hadhi ndio ataweza kuleta wawekezaji? Alishindwa kuwasaidia vijana kupitia hata vikundi wakapata mikopo kama afanyavyo Dr Tulia ndio ataweza kuwaleta wawekezaji? Sugu anachoweza ni kufanya vitu kwa maslahi yake binafsi.ndio maana huwa anajisifu sifu kama limbukeni kuwa ana hela nyingi katika akaunti zake. Sasa mtu mwenye akili Timamu anaweza kujisifia ujinga wa aina hiyo? Ukishwahi kuona MO au Baresa au alicko Dangote au Bilgeti au allon musk wakijisifu? Sasa huoni kuwa sugu ni limbukeni? Huoni bado ana utoto mwingi kichwani mwake? Huoni bado hawezi kufanya vitu vya kugusa maisha watu wenye uhitaji kama tunavyoona Dr Tulia Acksoni mwansasu akisaidia watu bila kuangalia sura ya mtu? Ulishawahi kuona wapi Dr Tulia akijitapa kuwa ana hela nyingi sana kwenye akaunti zake benki?
 
View attachment 2849086
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Mbunge ajaye wa Mbeya Mjini , ambaye pia ni Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Kimataifa , Bilionea Joseph Mbilinyi , Yeye badala ya kuwaita watanzania wenzake jina la kikatili na la kijinga la WANYONGE , ameamua kuupiga vita Umasikini kwa kutafuta wawekezaji wa Uturuki , kwa ajili ya mazao ya kilimo na madini .

Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba lengo kuu la Sugu ni kuhakikisha Wakulima wa Mbeya na Tanzania wanapata soko la Uhakika la kuuzia Matembele yao , michicha na kabichi zao badala ya kupata hasara kwa bidhaa hizo na nyingine kuozea shambani .

Kwa niaba yangu na kwa niaba ya Watanzania wote nampongeza sana Sugu kwa huruma yake na utu wake kwa watanzania wenzake na kuamua kuwatafutia soko la uhakika la mazao yao , ana roho ya kitajiri sana
Baada ya kumpongeza naenda ukapakuliwe na huyo unayemsifia
 
Lazima tulia abane wasipatr vibali
 
Wawekezaji wanakunywa coke hawajui ina sukari nyingi watakufa kabla ya uwelezaji wao
Sugu hawezi kuwapa hata juice ya matunda maana yule mkinga ni hatari sana.si unaona pana chupa moja tu ya soda ili wamiminiane kama wanafunzi na watoto wadogo? Huyo ndiyo sugu ambaye wana Mbeya hawataki hata kumsikia. Mbeya wanamwita tapeli wa kisiasa na mbabaishaji tu mwenye kufanya mambo kihuni huni tu
 
Back
Top Bottom