Siwezi kuamini hata kidogo kuwa barua ya kujiuzulu inayodaiwa kuandikwa na Dr. Nchimbi ni kweli imeandikwa na Nchimbi mwenyewe. Kama kuna mwenye ushahidi kuwa ni kweli yeye ndie mwandishi wa barua...
Kiprotokali ni Rais ndiye alitakiwa atangaze kupokea barua ya Emmanuel Nchimbi kujiuzulu umakamo wa Rais na siyo Nchimbi kutangaza kuwa amemuandikia Rais barua ya kujiuzulu.
Hili kosa la...
ACT Wazalendo wao, kila uchaguzi ukiisha, wanaitwa kwenye maridhiano kugawiwa vyeo. Dalali Zitto alicheza kama Pele kuipeleka ACT Zanzibar.
Hiki chama yaani wao huwa kinasubiri uchaguzi uishe...
Wakuu kuna MTU aliwahi kusema TUNDU LISSU Alikamatwa Kwa maelekezo ya ROSTAM AZIZ mara baada ya TUNDU LISSU kugusia Usafishaji wa kimagendo wa Makaa ya Mawe na Madini ya Uranium Tani Kwa matani...
Hili jambo nimewaza muda mrefu na nimekuwa nashangaa watu hawajaweza kung'amua hili jambo.
Kipindi kile ambacho matukio ya watu kupotea na kuuawa yalipozidi, kauli iliyokuwa inatolewa na vyombo...
Tasnia ya habari Tanzania ni mfu.
Imejaa watu waoga, wajinga, wapumbavu, machawa, waganga njaa, na walamba makalio.
Kwa wadau wa matukio ya habari duniani, mtakuwa mnajua kuwa Rais wa Marekani...
Kundi la Mawaziri wa Jumuiya ya Madola la Kuchukua Hatua (CMAG) limeamua kuendelea kuiweka Tanzania kwenye Ajenda Rasmi (Formal Agenda) ya kundi hilo, huku likitaka Serikali kuchukua hatua zaidi...
Previously: Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1) - JamiiForums
Karume na Jussa ni wamoja na wanafahamiana vizuri sana kuliko wewe unavyofikiri...
20 January 2026
Mahakama Kuu
Kivukoni,
Dar es Salaam, Tanzania
https://m.youtube.com/watch?v=GE4wN4GVeyw
Waziri wa zamani kwenye Wizara mbalimbali Geoffrey Idelphonce Mwambe amefungua kesi...
Wazungu wanazema time will tell! Time has spoken now. KIFO NI KIFO LAZIMA KILETE TAHARUKI.
Haya yote watu kwenda Kizimkazi ni kwa vile KIFO SIYO KIFO, LAZIMA KILETE TAHARUKI.
Nadhani kuna SOMO...
Hiki ni kioja kingine toka CCM. Chama kikongwe kuliko vyote nchini badala ya kuajiri Msemaji mwenye Weledi kimeleta Msema chochote (MC).
Cheo chake cha asili kinahusu Uenezi wa Itikadi ya Chama...
DEREVA ALIYETISHIA KWA SILAHA BENDERA AKAMATWA
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linamshikilia dereva wa TARURA Wilaya ya Dodoma, Sath John Masawa (31), kwa kosa la kumtishia kwa kitu kinachodhaniwa...
Je,
ni kwasababu Tanzania hakuna changamoto kubwa sasa ambazo zinaweza kua agenda kuu kwa vyama vya siasa hasa vya upinzani kuzisimamia?
Au ni uwezo mdogo wa viongozi wa upinzani katika kupanga...
Kumetokea vifo na ajali kadhaa vinavyohusu watumishi wa serikali na Idara zake hivi karibuni.
Vifo ninavyokumbuka:
1. Boti kuzama Kigoma na kuua watumishi 7
2. Askari polisi 5 na mahabusu 7...
Akizungumza kwenye mahojiano na Wasafi Media Septemba 21, 2026, Dkt. Hamisi Kigwangala, Mbunge wa zamani wa Nzega na aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii amegusia kuhusu maoni ya watu...
Vifo vya watumishi sita wa uhifadhi Tabora, pamoja na vifo vya simba 11 na fisi wawili Ngorongoro, ni matukio mazito yanayohitaji uwajibikaji na majibu ya kina kutoka kwa Wizara ya Maliasili na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.