Ni vyema Waziri Mkuu akabadilisha style ya ziara zake

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
17,747
Reaction score
24,413
Ziara za Waziri Mkuu zimekuwa kama ziara za katibu mwenezi wa chama.

Kwa waziri mkuu kwenda kujaribu kudili na matatizo binafsi kwenye ndoa za watu ukiwa juu ya gari inashusha hadhi ya kiti hiki.

Waziri mkuu ajihusishe na masuala mapana ya maendeleo ya nchi yetu na sio ziara za kujitafutia umaarufu binafsi.
 
Ziara za waziri mkuu zimekuwa kama ziara za katibu mwenezi wa chama. Kwa waziri mkuu kwenda kujaribu kudili na matatizo binafsi kwenye ndoa za watu ukiwa juu ya gari inashusha hadhi ya kiti hiki. Waziri mkuu ajihusishe na masuala mapana ya maendeleo ya nchi yetu na sio ziara za kujitafutia umaarufu binafsi.
Astaghifilulah!Anawabebembeleza wasinyimane "u-house"!?🤔
 
Ziara za Waziri Mkuu zimekuwa kama ziara za katibu mwenezi wa chama.

Kwa waziri mkuu kwenda kujaribu kudili na matatizo binafsi kwenye ndoa za watu ukiwa juu ya gari inashusha hadhi ya kiti hiki.

Waziri mkuu ajihusishe na masuala mapana ya maendeleo ya nchi yetu na sio ziara za kujitafutia umaarufu binafsi.
Cha kwa huyo sio waziri mkuu wa Tanzania otherwise useme ni kibaka tu kama vibaka wengine
 
Ziara za Waziri Mkuu zimekuwa kama ziara za katibu mwenezi wa chama.

Kwa waziri mkuu kwenda kujaribu kudili na matatizo binafsi kwenye ndoa za watu ukiwa juu ya gari inashusha hadhi ya kiti hiki.

Waziri mkuu ajihusishe na masuala mapana ya maendeleo ya nchi yetu na sio ziara za kujitafutia umaarufu binafsi.
Kwani waziri mkuu tunae? Kwa uchaguzi gani?
 
Ziara za Waziri Mkuu zimekuwa kama ziara za katibu mwenezi wa chama.

Kwa waziri mkuu kwenda kujaribu kudili na matatizo binafsi kwenye ndoa za watu ukiwa juu ya gari inashusha hadhi ya kiti hiki.

Waziri mkuu ajihusishe na masuala mapana ya maendeleo ya nchi yetu na sio ziara za kujitafutia umaarufu binafsi.
Akikaa ofisini muda wote mtakuja na uzi wenye kuipinga staili yake ya uongozi. Akienda moja kwa moja kusikiliza kero za watu mnakuja na hoja za kukosoa namna anavyofanya kazi , hakuna jema kutoka kwenu.

Muache apige kazi kwa mtindo anaouamini yeye mwenyewe, ukiongea na watu unapata kujua kipi kinachowasumbua kwa muda husika hauwezi kudanganywa na wasaidizi.
 
Tatizo lake anataka kuiga staili ya Magufuli na ndiyo anazidi kuharibu anajifanya kuchukia ufisadi wakati yeye mwenyewe ni fisadi papa.
 
Huyu niliwahi kusema sehemu anafaa kua katibu mwenezi wa chama maana yeye amewekeza kwenye propaganda zaidi
 
Back
Top Bottom