Mafwele azuiwa kuingia Marekani. Ahusishwa na Utekaji, ukiukwaji wa haki za binadamu

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,563
Reaction score
4,008
Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imemtaja Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi Tanzania (TPF), Faustine Jackson Mafwele, chini ya Kifungu cha 7031(c), ikisema kuna taarifa za kuaminika zinazomhusisha na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu. Uamuzi huo unamzuia Mafwele kuingia nchini Marekani.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, mwaka mmoja uliopita baadhi ya maafisa wa Jeshi la Polisi Tanzania waliwakamata, kuwatesa na kuwafanyia ukatili wa kingono mwanaharakati wa Uganda Agather Atuhaire na mwanaharakati wa Kenya Boniface Mwangi, waliokuwa jijini Dar es Salaam kufuatilia kesi ya kiongozi wa upinzani Tundu Lissu.

Tangazo hilo la umma limetolewa chini ya Kifungu cha 7031(c) cha Sheria ya Bajeti ya Usalama wa Taifa, Wizara ya Mambo ya Nje na Programu Zinazohusiana ya mwaka 2026 (Div. F, P.L. 119-75).

Taarifa hiyo imetolewa na msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, Tommy Pigott.

IMG_0622.jpeg

IMG_0621.jpeg

Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imechukua hatua dhidi ya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jesh.jpg

Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imechukua hatua dhidi ya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Je...jpg
Pia soma:
1. THRDC: Mwanaharakati Boniface Mwangi wa Kenya na Mwanasheria Agather Atuhaire wa Uganda wanashikiliwa na Jeshi La Polisi

2. Mwanaharakati wa haki za Binadamu Agather Atuhaire, apatikana baada ya kutupwa mpaka wa Tanzania-Uganda, Mtukula

3. Agather Atuhaire asimulia alivyoteswa na kufanyiwa ukatili na polisi wa Tanzania, hili ni doa kubwa kwetu

4. Boniface Mwangi amepigwa na kuteswa na mamlaka za Tanzania na kutelekezwa Ukunda, familia yake yathibitisha

5. Tanzania yakanusha kuwanyanyasa Kingono Wanaharakati Boniface Mwangi na Agather Atuhaire

6. Agather Atuhaire na Boniface Mwangi Waishtaki Tanzania kwa Unyanyasaji wa Haki za Binadamu, Mahakama ya Afrika Mashariki

7. MAREKANI YADAI kuchunguza ripoti za mateso za mwanaharakati wa Kenya Boniface Mwangi na Agather Atuhaire wa Uganda nchini Tanzania; inataka uchunguzi
 
Ni kilio Cha kusaga meno Kwa watawala, Muda mfupi uliopita Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Morco Rubio, ametoa statement ya kumpiga marufuku Jackson Mafwele na familia yake kukanyaga marekani.

Machawa watakuja kusema Marekani sio mbinguni ila niwape ukweli viongozi wengi wa CCM na serikali watoto wao wanasoma America au nchi za ulaya. Kumpiga ban kiongozi wa serikali na familia yake ni pigo kubwa Kwa watoto wake pia.

Ban hii ya America Kwa Mafwele ni pigo kubwa Kwa Samia, maana inaonyesha Samia analea watekaji. Kwa tulio hapa marekani ndani ya muda mfupi ujao viongozi wengine wa kisiasa na kijeshi watapigwa ban pia.

America akikuamulia huwezi toboa, ata vidola ya Tanzania kwenye utaliii 70% ni vya wamarekani.

Niitieni Mafwele

Mto wa mbu
Illinois-USA
 
Mafwele ni mtu mdogo tu kuna viongoz wa juu. Matter of facts hata mali zao ilizopo nje zidhobitiwe
 
Ni kilio Cha kusaga meno Kwa watawala, Muda mfupi uliopita Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Morco Rubio, ametoa statement ya kumpiga marufuku Jackson Mafwele na familia yake kukanyaga marekani.

Machawa watakuja kusema Marekani sio mbinguni ila niwape ukweli viongozi wengi wa CCM na serikali watoto wao wanasoma America au nchi za ulaya. Kumpiga ban kiongozi wa serikali na familia yake ni pigo kubwa Kwa watoto wake pia.

Ban hii ya America Kwa Mafwele ni pigo kubwa Kwa Samia, maana inaonyesha Samia analea watekaji. Kwa tulio hapa marekani ndani ya muda mfupi ujao viongozi wengine wa kisiasa na kijeshi watapigwa ban pia.

America akikuamulia huwezi toboa, ata vidola ya Tanzania kwenye utaliii 70% ni vya wamarekani.

Niitieni Mafwele

Mto wa mbu
Illinois-USA
Mark Pompeo alimpiga Bashite ban ya kutoingia Marekani... lakini bado bashite analamba vyeo tu.
 
Ni kilio Cha kusaga meno Kwa watawala, Muda mfupi uliopita Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Morco Rubio, ametoa statement ya kumpiga marufuku Jackson Mafwele na familia yake kukanyaga marekani.

Machawa watakuja kusema Marekani sio mbinguni ila niwape ukweli viongozi wengi wa CCM na serikali watoto wao wanasoma America au nchi za ulaya. Kumpiga ban kiongozi wa serikali na familia yake ni pigo kubwa Kwa watoto wake pia.

Ban hii ya America Kwa Mafwele ni pigo kubwa Kwa Samia, maana inaonyesha Samia analea watekaji. Kwa tulio hapa marekani ndani ya muda mfupi ujao viongozi wengine wa kisiasa na kijeshi watapigwa ban pia.

America akikuamulia huwezi toboa, ata vidola ya Tanzania kwenye utaliii 70% ni vya wamarekani.

Niitieni Mafwele

Mto wa mbu
Illinois-USA
Chadomo Huwa ni wapuuzi sana Sasa mtu kuzuiwa kwenda Marekani amekomolewa nini? Makonda si alishazuiwa Kuna kipi kipya?

Labda ingekuwa qanachukuliwa hatu za kisheria harafu kilichotajwa ni Kwa sababu za Wakunya sio nyie Chadomo,hapo hakuna Cha kushangilia.
 
Sioni kama ni pigo wakati kuna nchi nzuri siku hizi kuliko hio USA..me uniambie nichague nchi nitaanza na new zealand,japan,china,sweden,singapore,ndo nije USA nchi tu kibao za asia ni mbadala wa usa....hao marekani kama wanataka watusaidie kweli wachukue hatua kubwa
 
Back
Top Bottom