Hii ni baada ya Rais Samia kutoa TZS716.33bn kujenga hili daraja la Kigongo Busisi
Rais alirithi Daraja hili likiwa na asilimia 25 za utekelezaji wake, daraja hili lina urefu wa kilometa 3.2 kwa...
Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Revocatus (Baba Levo) akichangia hoja bajeti ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, kwa mwaka wa fedha 2026/27 leo Juni 1, 2026...
Na. Dr.Zack
Mficha maradhi kifo humuumbua. Hii ndiyo kauli yenye ukweli juu ya yanayoendelea ndani ya chama chetu. Tunajitahidi sana kuficha hali mbaya tuliyo nayo kisiasa, hali inayopelekea...
Alikuja kwa masuala mengine kabisa ambayo hayahusiani na Mibarua yake aliyoiandikia Chadema
Hii ni kwa Mujibu wa Katibu Mkuu John Mnyika
Hivyo basi lile bifu lake binafsi na Chadema halijaisha
Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza, amethibitisha kuwa ujio wa ofisi hiyo katika Makao Makuu ya CHADEMA leo Jumatatu, Juni 1, 2026, ulikuwa na agenda moja tu ya kisheria inayohusu...
28 May 2026
CCM YACHUKIZWA NA UTEKAJI, YAUMIZWA NA YALIYOTOKEA OKTOBA 29, BALOZI DKT ROSE MIGIRO ATETA NA KIKEKE
https://m.youtube.com/watch?v=rqTKkT6dv7o
Baada ya kukaa kimya toka 2017 kuhusu...
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Amani Golugwa amesema chama hicho kinaisihi Ofisi ya Msajili wa Vyama Vya Siasa nchini kufuata taratibu za kiutawala katika...
Habari zinazo trend sasa hivi ni ufala wa Tanzania kukataa kiwanda cha kuchuja mafuta Tanga.
Kiuchumi ujenzi wa kiwanda hicho ni strategic hata kama umiliki wake si 100% waTanzania.
Ufadhili wa...
"Hongera sana Gen Z, hongera sana waandamanaji wote. Mmejitoa bila kujibakiza kwa taifa lenu; wengine mmepoteza maisha, wengine mmepoteza viungo vya miili na kuwa na ulemavu wa kudumu. Historia ya...
Hizi hapa ndio Nchi 12 zenye idadi kubwa zaidi ya watu maskini Duniani
1.Nigeria - 95mln
2.DRC Congo-82
3.India-75
4.Pakistan-58
5.Ethiopia-47
6.Tanzania-29
7.Msumbiji-27
8.Uganda-26
9.Kenya-25...
Aliyekuwa Mbunge wa Kisesa na Mgombea Urais wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina ameyasema hayo Leo, 1, June 2026 alipokuwa akiongea na vyombo vya habari kuhusu mambo mbalimbali ikiwemo Maandamano ya...
"Vijana wanaingia kwenye soko la ajira kila mwaka zaidi ya milioni moja, wanaopata ajira ni asilimia 20 tu. Yaani hawapati ajira zaidi ya vijana 800,000.
Sasa ajira zenyewe nazo zinakuwa za...
Kada wa ACT Wazalendo Luhaga Mpina amemtaja Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu kuwa ni mmoja wa wanasiasa mahiri na Mwanamageuzi wa kweli ambaye mara zote...
"Kuna tuhuma ya wizi wa kutisha kwenye mikopo ya serikali ambapo kwa miaka mitano iliyopita deni la serikali limeongezeka kutoka trilioni 60.7 Machi 2022 hadi trilioni 115.2 Februari 2026, sawa na...
Wanabodi,
Swali hili niliwahi kuliuliza huko nyuma, thread iliunganishwa na thread yenye statement ya "tunanyemelewa na udini"!. Ile thread ni ya statement, mimi thread yangu ni ya swali...
Anadai sababu kubwa ya yeye kurudi CHADEMA ni kwa sababu mauaji yalifanyika tar 29 mwezi wa kumi mwaka 2025.
Je, kama CCM ingempitisha kuwa mgombea wao wa ubunge na kisha akawa mbunge angejiuzulu...
Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Prof. John Ruhangisa ameweka wazi kutoridhishwa kwake na mfumo wa sasa ambapo majaji wanateulia bila kuwepo kwa michakato ya wazi inayoshirikisha umma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.